Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,594
- 53,375
๐๐ kipi kilichokukuta win mbona kama unataka kusema kitu ๐๐๐sawaaa,, Siku kikikulamba urudi kutafuta huu uzi ๐๐
๐๐ kipi kilichokukuta win mbona kama unataka kusema kitu ๐๐๐sawaaa,, Siku kikikulamba urudi kutafuta huu uzi ๐๐
kaa ukishuhudia kinavyowaka moto๐๐๐ ๐ช๏ธ๐ช๏ธ๐ช๏ธ๐ช๏ธ๐ช๏ธ๐ฉ๏ธ๐ฉ๏ธ๐ฉ๏ธ
leo ndugu yangu umekula viagra na kademu kamegoma kuja na nauli kamekula ๐คฃ๐คฃ na hizi sikukuu mnapngwa kweli kweli
Hapana sio hivyo,ni mtu pekee hapa JF palipojaa wasiojulikana nimewahi kuonana nae live na tukawa na mawasiliano ya karibu,inakuwa ni rahisi kukumbuka!oh pole inaonekana alikua ni mtu mwema kwako, vipi hujammiss naona kama bado anaishi moyo mwako wekeni mambo sawa banah mrejeshe kitu mlichokipoteza
inapendeza kwa kweli inaonekana ulimuamini sana ,ukimuamini mtu akivunja trust si inapasua moyo sana?Hapana sio hivyo,ni mtu pekee hapa JF palipojaa wasiojulikana nimewahi kuonana nae live na tukawa na mawasiliano ya karibu,inakuwa ni rahisi kukumbuka!
Mimi ndo kichomi mkuu!inapendeza kwa kweli inaonekana ulimuamini sana ,ukimuamini mtu akivunja trust si inapasua moyo sana?
Hahha nilichanganyaHayo yana ndwele๐
ulikaza sana siajabu angekua mume bora๐๐Mimi ndo kichomi mkuu!
๐๐๐nimecheka kwa kweli dah ๐คฃ๐คฃ๐๐คฃ๐ Mimi paroko wewe๐คฃ
mi bado mgeni humu ๐๐๐ kipi kilichokukuta win mbona kama unataka kusema kitu ๐๐๐
Ulijaribu kutembelea tanga mkuuAliniuliza huku kaniweka loudspeaker,
"kwani nilikulazimisha unipende?
Vitu unavyonipa sikukuomba๐ฅน"
Bora angeishia hapo, nikasikia na vicheko kutoka upande wa pili
(Hapo nilikuwa najitia najua saana kujiongeza kumjali mchumba kwa vicent ili kumpungizia vishawishi!!)
Ukitoka msiba wa mzee wangu hii huwa n simulizi ya uchungu inayofata.
Na mzigo sikupata๐๐
Unataka kukaribishwa umekutana na muongozo huu๐๐mi bado mgeni humu ๐
Jamaa alikua husband material kabisa,muda wote anataka ufurahi,kakutana na Mimi Team kataa ndoa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃulikaza sana siajabu angekua mume bora๐๐
natamani nikujibu kwa voice note nimechoka ku type๐๐๐,,Unataka kukaribishwa umekutana na muongozo huu๐๐