Hahahha yeah hakuna mistari ya unene mkuuKhah. Kwahiyo gym yake yeye ni miguuni😂
Hebu chagua moja kati ya hizi dawa za asill daughterYaliyopita 🚮🚮
New beginning 🥂
Umejuaje mtani?Hicho kina😋chake sasa😂
Mwili unarudi sasa😁🙌ushindwe kunenepa tu🤭😄
Hapa kanisaniNa wewe pia kapeace, pasaka leo wap
Nitakuja badae kula mbuzi😊Hapa kanisani
Asante sana 🙏🙏🙏Hebu chagua moja kati ya hizi dawa za asill daughter
- Chai ya Chamomile
: Hiki ni kinywaji maarufu kinachojulikana kwa kutuliza mishipa ya fahamu na kusaidia mwili kurelax kabla ya kulala.- Maziwa ya Moto
: Kunywa glasi ya maziwa ya moto kabla ya kulala husaidia mwili kuzalisha homoni zinazoleta usingizi.- Mzizi wa Valerian (Valerian Root): Hii ni dawa ya asili ya mitishamba inayotumika kupunguza wasiwasi na kusaidia watu wenye tatizo la kukosa usingizi (insomnia).
- Maji ya Uvuguvugu
: Kunywa maji ya uvuguvugu kidogo kabla ya kulala kunaweza kusaidia kutuliza mfumo wa mwili.
thanks you too,,, nakuja kukukaangizia au haujamis mapishi yangu😋Mwili unarudi sasa😁🙌
Happy Easter.
Bwashee Itakuwa alienda Mango .Kirima au?
bado unanyoaga kipara haha ukinisumbua natembea na ndala tuu.
Na mie ngoja nitafute mwana Jf wa hapa Thailand naweza pata cha bure 😁Hapana sio hivyo ni kupeana bure walivyojaaliwa na Muumba wao