Alikufanyaje, Ukamfanyaje? Bad experience za kuumiza

Jamaa alikua husband material kabisa,muda wote anataka ufurahi,kakutana na Mimi Team kataa ndoa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
nikikuambia mimi mchungaji umini sasa,nilikuambia mwanzo hapo kuwa mbona naona kama bado anaishi moyoni mwako uksema nononoooo 😂😂 hii comment imemaliza utata, mtafute basi muyajenge achana na team kataa ndoa kuna vitu walikunywa team kataa ndoa usiingie kwenye mkumbo🤣
 
Mchungaji Bado hujatabiri vyema,ingia Tena kwenye maombi!
 
Seran labda muungane mtangaze kua mnaweza kurudisha nyeti kwa wote walioibiwa mtapiga pesa sana
😋😂
c9b54003-a849-4e4c-8cba-fafdd9a17999.jpeg
 
Back
Top Bottom