Alikufanyaje, Ukamfanyaje? Bad experience za kuumiza

Alikufanyaje, Ukamfanyaje? Bad experience za kuumiza

Aliniuliza huku kaniweka loudspeaker,
"kwani nilikulazimisha unipende?
Vitu unavyonipa sikukuomba🥹"

Bora angeishia hapo, nikasikia na vicheko kutoka upande wa pili
(Hapo nilikuwa najitia najua saana kujiongeza kumjali mchumba kwa vicent ili kumpungizia vishawishi!!)

Ukitoka msiba wa mzee wangu hii huwa n simulizi ya uchungu inayofata.

Na mzigo sikupata🏃🏃
Na mzigo sikupata😂🙌🏿😭
a67a7694-1697-4e43-854e-e269fd95d4de.jpeg
 
mkuu inaonyesha una ka experience fulani hivi amazing share basi
Alikuwa mtu kweli kweli🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Urafiki wetu uliendaaa baadae tukashibana sana,alikuwa ananitambulisha kwa ndugu zake na marafiki zake wengine kama rafiki yake,nikaja nikampotezea baada ya kumuona anaanza kuniweka kwenye target zake🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Mungu ampe maisha marefu huko aliko rafiki yangu!!
 
oh pole inaonekana alikua ni mtu mwema kwako, vipi hujammiss naona kama bado anaishi moyo mwako wekeni mambo sawa banah mrejeshe kitu mlichokipoteza
 
Back
Top Bottom