KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,803
- 86,573
nyie hamfai hata kukomenti..Wale wa forex nao wanaruhusiwa kushusha maumivu yao ?
nyie hamfai hata kukomenti..Wale wa forex nao wanaruhusiwa kushusha maumivu yao ?
Enheee 😁Nikaambiwa kuna mchongo wa kupeleka mademu uarabuni😂🙌🏿 .. Part yangu ni ndumba😀🤣
Sisemi kitu Bwashee 🤗Unataka kusema nini mnama....
utaelewa tu 😁😁Sijaelewa , yani nan na wapi ?
Twende nalo baba🔥🔥Nikapewa dili ya kupeleka maiti baharini.. Nikapeleka maiti feki.. Nikalipwa pesa bandia. Halafu nikaambiwa tulikuwa tunakufuatilia tangu mwanzo😀
Umechelewa kuelewa kuwa nilishaelewautaelewa tu 😁😁
pole sana mkuuIt was all started at JF.. And of course PM.. Then contact exchange.. The rest ni maumivu ama experience za kuvutia!
Alinikopesha 2,000,000 kwa lazima kwa riba ya 600,000 kwa mwezi!
I paid it.. It was OK for me! But I learned a lesson!🤣
Anything from your side!? Una cha kusimia!?
Naenda misa ya usiku,, ...
Natembea na pin na rubber band mkuu, usalama kama mbinguniChungulia kwanza kama zipo
mkuu inaonyesha una ka experience fulani hivi amazing share basiRafiki uliyekutana nae Jf
Hapo ilikua before hujaokoka😁Niliwaroga wote🤬
Kirima au?Naenda misa ya usiku,, ...