Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Wacha weeeeee. Njia za Mababu zenu za kuua Albino, kukeketa wanawake, kuabudu mawe, kuvaa manometer huku wakinya vichakani na kutawazia magunzi ya Mahindi, michanga na kujisugua kwenye visuguu. Hatari hiyo shehe wangu. Hakuna mtu aliyekukataza bro, we rudi tu kwenye njia za Baba zako wa Kisukuma.
Hujitambui[emoji706][emoji706]
 
Wengi tulishampuuzia. Tunafahamu asili ya Ibilisi ni kupinga uwepo wa Mungu na dalili ya Mtu mwenye mapepo ni kupinga na kutotaka kusikia lolote linalohusu Mungu. Huyo anakusumbua tu na anajua afanyalo. Huku JF, Mawakala ni wengi sana na wanafahamika tu.
Pumba+,na kumbe hujitambui[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kama hakuna Mungu, bibi yako aliemzaa baba yako na mama yako wako wapi hivi sasa? Si washaliwa na mchwa? Au unao nyumbani wanakula mihogo?
Huyo Mungu unaehubiriwa wewe ulishawahi kumuona au ndio umekaririshwa tuu?
 
Mtayarishaji na muigizaji wa filamu maarufu Hollywood Mel Gibson juzi kati ampeost picha iliyojaa ujumbe mzito.

Picha hiyo inajieleza kuliko maneno elfu moja.

Muwe na Boxing Day njema wakulungwa.
View attachment 2853503
Kwanini Waarab wanatuambia kuwa kijana shetani ni mweusi (Mwafrika) wakati hapa anaonekana kuwa ni mwarab?
 
Naam.

Mpaka sasa, hakuna aliyethibitisha Mungu yupo, hakuna aliyeondoa contradictions katika dhana ya Mungu kuwepo, hakuna aliyeondoa contradictions zilizo katika vitabu vya dini.
The greatest trick the devil ever pulled was to make the world believe that he didn't exist.

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
The greatest trick the devil ever pulled was to make the world believe that he didn't exist.

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Why would an all knowing, all capable, all loving God create a universe in which the devil can exist if that God could create a universe in which the devil does not exist?

That is a contradiction you have not addressed.
 
Nimethibitisha mara nyingi.

Labda hujui kusoma kwa ufahamu.

Kabla ya kuthibitisha nikuulize, ni uthibitisho wa aina gani utakushawishi ukubali Mungu hayupo?

Maana nisije kuhangaika kukuthibitishia wakati ushajiwekea nadhiri hukubali uthibitisho wowote ule.
Hata wewe umeshajiwekea nadhiri kutokukubali uthibitisho wowote kuwa Mungu yupo.
 
Hata wewe umeshajiwekea nadhiri kutokukubali uthibitisho wowote kuwa Mungu yupo.
Hapana.

Nimeeleza hapo juu mtu akitpa maelezo yaliyo logically consistent na yasiyoweza kuwa contradicted nitakubali Mungu yupo.

Wewe hujaeleza kitu kama hicho kwa upande wako.
 
Hapana.

Nimeeleza hapo juu mtu akitia maelezo yaliyo logically consistent na yasiyoweza kuwa contradicted nitakubali Mungu yupo.

Wewe hujaeleza kitu kama hicho kwa upande wako.
Kiranga, big up.. umewashinda hao wte watu wa dini. Wameshindwa kututhibitishia uwepo wa uyo wanaemuita mungu
 
Nafiri hapa ni kila mtu anata kujifagilia race yake na kupondea ya mwenzake.

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Zamani kabla hizi dini hazijaja hapa Afrika tulikuwa tunaamini kuwa shetani ni kiumbe yeyote mwenye ngozi nyeupe ambaye hafanani nasi na ndiyo maana kuna makabila mengine hapa Afrika walikuwa wanaua watoto zeruzeru kuwahisi ni wa mikosi / wa kishetani. Kuja hizi dini za maboti wakatugeuzia kibao na kutuaminisha kuwa shetani si wao ila ni sisi tulio na ngozi nyeusi na tukawaamini ila si mimi kwani bado naamini shetani ni mtu mweupe mpa dakika hii. Ndiyo maana sipendi mademu wanaojichubua.
 
Back
Top Bottom