JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,358
- 9,909
Hakuna Mungu!, Hakuna Shetani!.Hakuna Mungu, hakuna shetani. Hizi ni siasa za watu tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Hizo ni siasa za KIKUNDI FULANI CHA WAHUNI! TU
(Point of corrections)
Hakuna Mungu!, Hakuna Shetani!.Hakuna Mungu, hakuna shetani. Hizi ni siasa za watu tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Kwa nini swali liwe nani?Je yupo nani
Brainwashed and indoctrinated by Zionists propaganda. I can't argue with you mkuu.Shetani ni muendelezo wa hadithi ile ile ya Mungu.
Nikipinga uwepo wa Mungu, hapo hapo nimepinga uwepo wa Shetani.
Kwa sababu hadithi ya kuwepo Mungu ndiyo imetuletea Shetani.
Usichoelewa nini hapo?
Wewe huyo kristo unamjua?
Mnaletewa maujinga tu mnaacha njia zenu za asili za mababu halafu mnaanza kupigania hayo hayo maujinga tu.
Hapana. Nakataa.Umefanya lazy generalization kwamba ni wahuni.Hakuna Mungu!, Hakuna Shetani!.
Hizo ni siasa za WAHUNI! TU
(Point of corrections)
Papa ajiudhuru au Francis ndio ajiudhulu...papa si ni cheoPapa angejiudhuluuuu
Kubwa la MazuzuTuondolee hapa u-SDA wako.
KirangaHakuna Mungu, hakuna shetani. Hizi ni siasa za watu tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Naam, unasemaje Glenn maana nimeisikia sauti yako ikiniita.
Mimi nakataa hadithi ya mwanzo wa dunia ya Wayahudi.Brainwashed and indoctrinated by Zionists propaganda. I can't argue with you mkuu.
From the director of passion of christ, katoa ujumbe tushtukeMtayarishaji na muigizaji wa filamu maarufu Hollywood Mel Gibson juzi kati ampeost picha iliyojaa ujumbe mzito.
Picha hiyo inajieleza kuliko maneno elfu moja.
Muwe na Boxing Day njema wakulungwa.
View attachment 2853503
Yani anaharibu sana ukatoliki mbwaa yuleee..[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]Papa inaonesha wazi kabisa nae kuna mahali anachukua maelezo ya kipi afanye na kipi azungumzie.
Swali lilitakiwa liweje?Kwa nini swali liwe nani?
Nami Kubwa la Mazuzu nazipokea kwa shukrani nyingi.Niseme nini zaidi ya salam mkuu
HIlo jina limenipa sababu ya kutabasamu😂Nami Kubwa la Mazuzu nazipokea kwa shukrani nyingi.