Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Mabaya na mazuri kayaumba mwenyewe Mungu na yeye ndie aliyeyaita mabaya na mazuri, kaumba hayo yoote kama mitihani ya sisi kufudhu kwenda kwenye Marshall ya kesho.

Mungu yup na ulimwengu upo na year ndie aliyeweka hayo mabaya na mazuri

Kuwepo ulimwengu wenye mabaya ni hiitimisho kuwa hana upendo, how??

Mabaya yaliyo ulimwenguni ni unyoya tu kwaajiri ya kututahini
Kwanza kabisa, hujathibitisha Mungu yupo.

Kabla ya kusema mabaya kayaumba Mungu, thibitisha Mungu yupo.
 
Sayansi imeruhusu watu kujifunza tu na kuzalisha kupitia created things such as the Earth and those contained in the earth, water, plants and the atmosphere in general, Where and when does science teach you creation if not in research?
Ndiyo umethibitisha Mungu yupo hapo?
 
Kwa kifupi hujapata Neema ya kushudia Ukuu wa Mungu.

Hivyo vyote ulivyovitaja mwanadamu yeyote anaweza kwa juhudi binafsi hata na kuzidi.

Mimi sikupingi wala sikulaumu.

Lakini kwangu nimepata yale usiyoweza kamwe kuyapata kwa juhudi binafsi wala Elimu bali kwa uweza wa Mungu.

I wish siku moja tukae meza moja tufanye mjadala naweza kukueleza kila kitu.

Mimi mvivu sana kuandika
Usiandike gazeti, unaweza kushare nasi hayo mambo walau tuweze kuufahamu ukuu wa Mungu.
 
Shetani ni muendelezo wa hadithi ile ile ya Mungu.

Nikipinga uwepo wa Mungu, hapo hapo nimepinga uwepo wa Shetani.

Kwa sababu hadithi ya kuwepo Mungu ndiyo imetuletea Shetani.

Usichoelewa nini hapo?
Mkuu Kiranga, nafahamu umewahi kuwa na majadiliano marefu kipindi cha nyuma. Hongera kwa kushikilia msimamo wako.
Unaufahamu kwamba mwanadamu anasehemu tatu nazo ni mwili, roho na nafsi? Kama sio mwanadamu kwako ni nini?
 
Acha nikukubalie, for the sake of argument.

Hata ikiwa kweli Kiranga hana upeo, anaandika vitu visivyoeleweka kwa lengo la kushindana tu.

Huo nao ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingekuwa mkatili kuumba ulimwengu ambao una watu wasio na upeo kwa jinsi hiyo.

Unaweza kuona kashfa yako ya ad hominem logical fallacy inamshusha Kiranga.

Kwa fikra ndogo unaweza kuona hivyo.

Lakini, kwa fikra za kina, unaizidishia hoja ya Kiranga nguvu tu.

Unazidi kuweka ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.
Sijasoma nimekupuuzia
 
Mkuu Kiranga, nafahamu umewahi kuwa na majadiliano marefu kipindi cha nyuma. Hongera kwa kushikilia msimamo wako.
Unaufahamu kwamba mwanadamu anasehemu tatu nazo ni mwili, roho na nafsi? Kama sio mwanadamu kwako ni nini?
😂😂Paka naye ana roho mwili na nafsi? Majani nayo? Je plasmodium? Je sperm cell?
 
Kwanza kabisa, hujathibitisha Mungu yupo.

Kabla ya kusema mabaya kayaumba Mungu, thibitisha Mungu yupo.
Uthibitisho wa Mungu kuwapo is not something tangible kwamba nitathibitisha ABC na ukaweza kuishika his ABC ukairamba na kuipigapiga nakusema Yes huu uthibitisho.

Uthibitisho wa Mungu ni more Intangible thing ambao kwa abilities kubwa I can approx 90% integrated in our mind direct na yeye Mungu, inamaanisha being a human ulikaa chini automatically your mind ina realize kuwa Mungu yupo na ameniumba....Hii kitu ngumu kukuwekea kwenye tangible form ukaona na siwezi.

Pia, uthibisho wake kwa asilia chache sana unaweza thibitika via tangible things like Full ecosystem ya universe ilivyokuwa designed.

Kwa akili ya kawaida Universe iliyo undwa lazima imekuwa designed na designer kutokana na work flow yake kuwa very systematic chopping their little thing like Solar enery>Photosynthesis >Food chain>Death....Is that happened just VUUUP??

Hapo juu inatosha kuthibisha tattoo lako unataka uthibitisho ulioutengeneza wewe kichwani, seems your mind umei-program kataka uthibisho wako wewe ambao hauwezekani, only thing you need to know masuala ya Mungu ni beyond our thinking ability sisi wenye imani still in learning day by day, itakuwa ngumu kupewa uthibisho wa hili jiwe ulione jiwe,....Free your mind before kuyaendea haya mambo.
 
Mkuu Kiranga, nafahamu umewahi kuwa na majadiliano marefu kipindi cha nyuma. Hongera kwa kushikilia msimamo wako.
Unaufahamu kwamba mwanadamu anasehemu tatu nazo ni mwili, roho na nafsi? Kama sio mwanadamu kwako ni nini?
Kwanza kabisa, habari ya "mwanadamu" ni kukubali kuwa mtu kaanzia na Adamu, mimi siikubali hadithi hii kuwa ni ukweli.

Kwa hvyo mimi nakataa hilo jina la "mwanadamu". Nitaenda na "mtu".

Mwili unaeleweka na kukubalika hata kisayansi.

Unaposema roho una maana gani? Unaweza kui define roho? Unaweza kuipima?

Unaposema nafsi una maana gani? Unaweza kui define? Unaweza kuipima?
 
Ndiyo umethibitisha Mungu yupo hapo?
God is great and hidden and we cannot understand it with human thoughts that are lacking because of sin.

This is why we need to believe his announcement. God created the world and he guides and governs it. and much more - God became a man in Christ Jesus here on earth and freed us from our sins.

There is no other and there is no other God.

I am Alpha and Omega, the beginning and the end, says the Lord God, who is and who was and who is to come, the Almighty.
(Revelation 1:8)

Ni vigumu sana kwako kutaka ujue kama Mungu yupo ama la, kwa sababu ya Dhambi na makosa ambayo huwatendea wengine, lakini pia kama nilivyoandika hapo Juu, hauwezi kufahamishwa na ukamwelewa Mungu iwapo u hali ya kibinadamu kwa kuwa yeye Mungu asema, Mungu ni roho na utakapo kumwabudu, yakubidi nawe uwe katika roho na kweli


Kwa kuwa hayo yoote ni mageni na umeyakataa tangu ulipotaka kumfahamu Mungu ukiwa katika hali ya kuhangaika saana na usijue anatafutwaje na ataonekana vipi, ulipomkosa katika hali yako ya dhihaka hiyo, ukajipatia jibu la moja kwa moja kwamba Mungu hayupo!

Lakini nikuulize swali dogo nami la ufahamu, ni wapi umewahi kuona kiwanda cha ķutengeneza Damu mkuu!
 
Hili umepotosha na kujaa makasiriko. Vatican gani aliyeleta dini? Mbona ipo Wazi au unajifanya mwehu? Ukristo unaanzishwa na Yesu mwenyewe ma wakati analeta Ukristo, hao Warumi walikuwepo wanaabudu miungu yao.

Kabla ya Wakoloni na wazungu kuja Afrika, Ukristo ulikuwepo Afrika kwani wanafunzi tena mitume wale 12 wa Yesu (Mathayo yule aliyeandika Injili ya Mathayo) walishafika Afrika ikiwemo Ethiopia ambapo Alianzisha Kanisa na kuwa Askofu wa Kwanza wa Pale Ethiopia na Mauti yake ilimkuta pale pale Ethiopia. Ebu wacha wenge dogo.
Kweli binafsi huwa nawashanga watu kusema Wazungu walileta Ukristo wakati ukisoma biblia kitabu cha matendo ya mitume unaona kuna mkush alikuwa anatoka kwa Ethiopia hadi Jerusalem kuhiji na biblia inasema kusiku mtume Philipo alimkuta anasoma kitabu cha Isaya, kwahiyo afrika ilikuwa mbele kiimani kuliko hao wazungu. Wazungu baada ndiyo walikuja kuona Ukristo ni dili wa kaudandia kwa faida zao.
 
Back
Top Bottom