Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Mtayarishaji na muigizaji wa filamu maarufu Hollywood Mel Gibson juzi kati ampeost picha iliyojaa ujumbe mzito.

Picha hiyo inajieleza kuliko maneno elfu moja.

Muwe na Boxing Day njema wakulungwa.
IMG_20231226_130733.jpg
 
Hili mbona liko wazi .ni vile Binadam kaamua kupenda kula Tigo kuliko Kusoma Biblia.


Papa ni MPINGA KRISTO ambaye anapewa Cha kusema na Shetan na wakati huohuo atapewa nguvu na MAREKAN.
Wewe huyo kristo unamjua?

Mnaletewa maujinga tu mnaacha njia zenu za asili za mababu halafu mnaanza kupigania hayo hayo maujinga tu.
 
Mkuu, sijawahi kuinat hata sokur moja ukielekeza kupinga uwepo wa shetani, au kutaka proof ya uwepo wa ibilisi.
Shetani ni muendelezo wa hadithi ile ile ya Mungu.

Nikipinga uwepo wa Mungu, hapo hapo nimepinga uwepo wa Shetani.

Kwa sababu hadithi ya kuwepo Mungu ndiyo imetuletea Shetani.

Usichoelewa nini hapo?
 
Back
Top Bottom