Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,738
- 155,883
Ni uthibitisho wa aina gani unaweza kukuridhisha kuwa argument yangu kwamba hakuna Mungu ina mantiki na inawakilisha uhalisi wa mambo?Nawe wewe thibitisha argument yako
Angalia post #94
Ni uthibitisho wa aina gani unaweza kukuridhisha kuwa argument yangu kwamba hakuna Mungu ina mantiki na inawakilisha uhalisi wa mambo?Nawe wewe thibitisha argument yako
Thibitisha kwamba una akiliHakuna Mungu, hakuna shetani. Hizi ni siasa za watu tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Vipi kuhusu uchawi?Hakuna Mungu, hakuna shetani. Hizi ni siasa za watu tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Akili ni nini?Thibitisha kwamba una akili
Akili ni nini?Thibitisha kwamba una akili
Nope majina yako Matayu nikudhibitishieHakuna Mungu, hakuna shetani. Hizi ni siasa za watu tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
ni kitu ambacho wewe hunaAkili ni nini?
Kwanza jifunze tofauti ya kudhibitisha na kuthibitisha.Nope majina yako Matayu nikudhibitishie
Sawa, hata hilo likiwa kweli, bado hujathibitisha Mungu yupo.ni kitu ambacho wewe huna
Si kwamba hizo njia za asili ni imani zao mababu kwa wakati wao? Kwa nini tusianzishe imani zetu mpya kwa huu wakati wetu?Wewe huyo kristo unamjua?
Mnaletewa maujinga tu mnaacha njia zenu za asili za mababu halafu mnaanza kupigania hayo hayo maujinga tu.
Sio tumeshindwa,Kiranga, big up.. umewashinda hao wte watu wa dini. Wameshindwa kututhibitishia uwepo wa uyo wanaemuita mungu