Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Mtayarishaji na muigizaji wa filamu maarufu Hollywood Mel Gibson juzi kati ampeost picha iliyojaa ujumbe mzito.

Picha hiyo inajieleza kuliko maneno elfu moja.

Muwe na Boxing Day njema wakulungwa.
View attachment 2853503
Acha wengine waje kujadili contents za mada Yako.

Mimi naomba kuuliza.

Hiyo "11 Oct at 15:48" inamaanisha nini?
 
Yani anaharibu sana ukatoliki mbwaa yuleee..[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Ukatoliki ni nini??au na wewe umerithishwa na kukaririshwa na waliokutangulia!!
 
Yani anaharibu sana ukatoliki mbwaa yuleee..[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Ameshauharibu mkuu,,,,kama waumini mnauwezo wa kuufanyia repair basi anzeni sasa hv before its too late
 
Kiranga nimejifunza kama vile una hasira na Mungu.
Inaonyesha ulitokewa na jambo kubwa baya ambalo ungetegemea Mungu angelizuia lakini haikuwa hivyo
Hapana mkuu.

Umenidogosha sana.

Katika watu ambao wangetakiwa kumkubali Mungu kwa sababu ya mambo kuwaendea vizuri, mimi ningekuwa mmojawapo.

Sitaki kusema mengi kujisifu binafsi. Awali kabisa, mengi yametokea kwa bahati tu, kuanzia kuzaliwa.

Yumkini nisingezaliwa na wazazi wangu, pengine mengi niliyofaidika kwa sababu ya bahati hiyo tu nisingefaidika nayo. Hilo halina maana sikufanya jitihada zangu, lakini, pa kuanzia maisha ni muhimu sana.

Nimepata bahati kuzaliwa na wazazi wenye elimu, familia ya ki Oysterbay, mshua top of his game, mama top of her game Ikulu tangu enzi za Nyerere, very well connected, popote nilipopita nafagiliwa.

Wazazi waliniandalia njia rahisi ya kusoma na kujitegemea, nimefanya kazi za kimataifa nikaishi kinyamwezi tangu niko Dar, nimehamia, kusoma na kuishi New York City, mji nilioupenda tangu mdogo.

Nimefanya kazi Wall St, sehemu ambayo nililenga tangu awali, nimejenga pa kukaa na pa kukodisha watu wengine, nchi ya watu. Nafanya kazi na biashara zangu bila tabu, nasaidia watu wanaostahiki kama ninavyotaka, familia yangu inanipenda na kunithamini.

Nina utashi wa asili unaonifanya niwe "never bored".

Mabinti wananing'ang'ania mpaka naona tabu. Wanasema nafanana na Denzel Washington, nawaambia hapana, Denzel Washington ndiye anafanana na mimi.

Kama kuruka vizingiti vya maisha tu ndiyo kungekuwa sababu, mimi nilitakiwa kumkubali sana Mungu.

Sababu zangu za kumkataa Mungu si personal, ni philosophical.

Ila, nimegundua kuwa Watanzania wengi kama wewe hawawezi kufanya abstract thinking.

Hawawezi kutenganisha a philosophical argument from a personal experience argument.

Yani, kwa Watanzania hawa kama wewe, mtu akisema "Napinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi", moja kwa moja wana assume anayesema hivyo ni mtu mweusi ambaye anapinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi kutokana na personal experience ya kubaguliwa yeye mtu mweusi.

Hawaelewi kwamba hata mtu mweupe mwenye white privilege anaweza kupinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, kwa sababu za kifalsafa tu.
 
😂😂😂dini mmeletewa na Vatican, bible imeundwa na Vatican, afu Leo hii Vatican inasema hivi, mkatoliki wa kimara bonyokwa unakuja kusema papa katumwa na shetani, bac unda dini yako kama wewe una upako kuliko yeye...😂 mkiambiwa hizi dini ni utapeli na kina Kiranga mnaona ujinga...efm jana wamepost Christmas origin ni ya kipagani wakristo wamekuja juu...mtakuwa gizani mpaka lini wanangu...waliokuletea dini (UK na Germany) kwao majority ya Watu wanakimbia dini, makanisani kunakauka..ila mwafrika wewe Huna hili wala lile ndo unamjua mungu...😂nchi zote zilizoendelea ni ambazo Zina uhuru wa kifikra endeleeni na ushirikina wenu tuone mtafika wapi
 
Wewe huyo kristo unamjua?

Mnaletewa maujinga tu mnaacha njia zenu za asili za mababu halafu mnaanza kupigania hayo hayo maujinga tu.
Wacha weeeeee. Njia za Mababu zenu za kuua Albino, kukeketa wanawake, kuabudu mawe, kuvaa manometer huku wakinya vichakani na kutawazia magunzi ya Mahindi, michanga na kujisugua kwenye visuguu. Hatari hiyo shehe wangu. Hakuna mtu aliyekukataza bro, we rudi tu kwenye njia za Baba zako wa Kisukuma.
 
Wewe unaamini kwenye nini??
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Kuamini ni haki ya kiutu ya kila mtu, aamini anavyotaka, iwe uongo, iwe ukweli, ni haki yake kuamini anavyotaka. Hakuna mjadala hapo. Imani kimsingi haihojiwi.

Hii ni haki ya kikatiba. Freedom of conscience. Freedom of worship. Freedom of self determination. Zote hizi zipo kikatiba.

Kwa hivyo, imani si kitu muhimu. Kwa sababu imani kimsingi inalindwa na faragha, haihojiwi.

Yani mimi sina imani ya kidini, lakini natetea haki ya kila mtu kuamini au kutoamini, anavyotaka.

Ujuzi ni zaidi ya imani, unahojiwa, unathibitishwa.

Mimi najua Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu anakuwa contradicted na huu ulimwengu, kwa kuanzia na "the problem of evil".
 
Hapana mkuu.

Umenidogosha sana.

Katika watu ambao wangetakiwa kumkubali Mungu kwa sababu ya mambo kuwaendea vizuri, mimi ningekuwa mmojawapo.

Sitaki kusema mengi kujisifu binafsi. Awali kabisa, mengi yametokea kwa bahati tu, kuanzia kuzaliwa.

Yumkini nisingezaliwa na wazazi wangu, pengine mengi niliyofaidika kwa sababu ya bahati hiyo tu nisingefaidika nayo. Hilo halina maama sikufanya jitihada zangu, lakini, pa kuanzia maisha ni muhimu sana.

Nimepata bahati kuzaliwa na wazazi wenye elimu, familia ya ki Oysterbay, mshua top of his game, mama top of her game Ikulu tangu enzi za Nyerere, very well connected, popote nilipopita nafagiliwa.

Wazazi waliniandalia njia rahisi ya kusoma na kujitegemea, nimefanya kazi za kimataifa nikaishi kinyamwezi tangu niko Dar, nimehamia, kusoma na kuishi New York City, mji nilioupenda tangu mdogo.

Nimefanya kazi Wall St, sehemu ambayo nililenga tangu awali, nimejenga pa kukaa na pa kukodisha watu wengine, nchi ya watu. Nafanya kazi na biashara zangu bila tabu, nasaidia watu wanaostahiki kama ninavyotaka, familia yangu inanipenda na kunithamini.

Nina utashi wa asili unaonifanya niwe "never bored".

Mabinti wananing'ang'ania mpaka naona tabu. Wanasema nafanana na Denzel Washington, nawaambia hapana, Denzel Washington ndiye anafanana na mimi.

Kama kuruka vizingiti vya maisha tu ndiyo kungekuwa sababu, mimi nilitakiwa kumkubali sana Mungu.

Sababu zangu za kumkataa Mungu si personal, ni philosophical.

Ila, nimegundua kuwa Watanzania wengi kama wewe hawawezi kufanya abstract thinking.

Hawawezi kutenganisha a philosophical argument from a personal experience argument.

Yani, kwa Watanzania hawa kama wewe, mtu akisema "Napinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi", moja kwa moja wana assume anayesema hivyo ni mtu mweusi ambaye anapinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi kutokana na personal experience ya kubaguliwa yeye mtu mweusi.

Hawaelewi kwamba hata mtu mweupe mwenye white privilege anaweza kupinga ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi, kwa sababu za kifalsafa tu.
Kwa kifupi hujapata Neema ya kushudia Ukuu wa Mungu.

Hivyo vyote ulivyovitaja mwanadamu yeyote anaweza kwa juhudi binafsi hata na kuzidi.

Mimi sikupingi wala sikulaumu.

Lakini kwangu nimepata yale usiyoweza kamwe kuyapata kwa juhudi binafsi wala Elimu bali kwa uweza wa Mungu.

I wish siku moja tukae meza moja tufanye mjadala naweza kukueleza kila kitu.

Mimi mvivu sana kuandika
 
😂😂😂dini mmeletewa na Vatican, bible imeundwa na Vatican, afu Leo hii Vatican inasema hivi, mkatoliki wa kimara bonyokwa unakuja kusema papa katumwa na shetani, bac unda dini yako kama wewe una upako kuliko yeye...😂 mkiambiwa hizi dini ni utapeli na kina Kiranga mnaona ujinga...efm jana wamepost Christmas origin ni ya kipagani wakristo wamekuja juu...mtakuwa gizani mpaka lini wanangu...waliokuletea dini (UK na Germany) kwao majority ya Watu wanakimbia dini, makanisani kunakauka..ila mwafrika wewe Huna hili wala lile ndo unamjua mungu...😂nchi zote zilizoendelea ni ambazo Zina uhuru wa kifikra endeleeni na ushirikina wenu tuone mtafika wapi
Hili umepotosha na kujaa makasiriko. Vatican gani aliyeleta dini? Mbona ipo Wazi au unajifanya mwehu? Ukristo unaanzishwa na Yesu mwenyewe ma wakati analeta Ukristo, hao Warumi walikuwepo wanaabudu miungu yao.

Kabla ya Wakoloni na wazungu kuja Afrika, Ukristo ulikuwepo Afrika kwani wanafunzi tena mitume wale 12 wa Yesu (Mathayo yule aliyeandika Injili ya Mathayo) walishafika Afrika ikiwemo Ethiopia ambapo Alianzisha Kanisa na kuwa Askofu wa Kwanza wa Pale Ethiopia na Mauti yake ilimkuta pale pale Ethiopia. Ebu wacha wenge dogo.
 
Back
Top Bottom