Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Papa inaonesha wazi kabisa nae kuna mahali anachukua maelezo ya kipi afanye na kipi azungumzie.
Matrix ana maboss zake na yeye
IMG_4650.jpeg
 
Kwa kifupi hujapata Neema ya kushudia Ukuu wa Mungu.

Hivyo vyote ulivyovitaja mwanadamu yeyote anaweza kwa juhudi binafsi hata na kuzidi.

Mimi sikupingi wala sikulaumu.

Lakini kwangu nimepata yale usiyoweza kamwe kuyapata kwa juhudi binafsi wala Elimu bali kwa uweza wa Mungu.

I wish siku moja tukae meza moja tufanye mjadala naweza kukueleza kila kitu.

Mimi mvivu sana kuandika
Hujathibitisha Mungu yupo.

Uvivu wako wa kuandika nao ni uthibitisho Mungu hayupo.

Yani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kashindwaje kukuondolea uvivu wako katika mada unayotaka kumtetea?
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Kuamini ni haki ya kiutu ya kila mtu, aamini anavyotaka, iwe uongo, iwe ukweli, ni haki yake kuamini anavyotaka. Hakuna mjadala hapo. Imani kimsingi haihojiwi.

Hii ni haki ya kikatiba. Freedom of conscience. Freedom of worship. Freedom of self determination. Zote hizi zipo kikatiba.

Kwa hivyo, imani si kitu muhimu. Kwa sababu imani kimsingi inalindwa na faragha, haihojiwi.

Yani mimi sina imani ya kidini, lakini natetea haki ya kila mtu kuamini au kutoamini, anavyotaka.

Ujuzi ni zaidi ya imani, unahojiwa, unathibitishwa.

Mimi najua Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, kwa sababu anakuwa contradicted na huu ulimwengu, kwa kuanzia na "the problem of evil".
Kiaje Mungu mjuzi anakuwa contradicted na unasema hayupo?
 
Shetani ni muendelezo wa hadithi ile ile ya Mungu.

Nikipinga uwepo wa Mungu, hapo hapo nimepinga uwepo wa Shetani.

Kwa sababu hadithi ya kuwepo Mungu ndiyo imetuletea Shetani.

Usichoelewa nini hapo?
Akili yako uliyopewa na Mungu, 98% hujawahi hata kuitumia, na ikiwa ungekuwa umetumia japo 10% wewe ndo ungekuwa shetwani kabisa
 
Kiaje Mungu mjuzi anakuwa contradicted na unasema hayupo?
Dhana ya Mungu huyo kuwapo inakuwa contradicted na dunia tunayoishi.

Ni kama vile uniambie kuwa "kuna duara ambalo hapohapo ni pembetatu" katika Euclidean geometry.

Wakati tunajua duara halina pembe, na pembetatu ina pembe tatu. Duara lina nyuzi 360 na pembetatu ina nyuzi 180.

Dhana ya uwepo wa hiyo "duara pembetatu" ina contradiction, contradiction inaonesha hiyo "duara pembetatu" haipo, ni neno la hadithi ya kutungwa tu.

Na Mungu huyo naye tunajua hayupo kwa kuangalia contradiction kama hiyo ya "duara pembetatu".
 
Hili umepotosha na kujaa makasiriko. Vatican gani aliyeleta dini? Mbona ipo Wazi au unajifanya mwehu? Ukristo unaanzishwa na Yesu mwenyewe ma wakati analeta Ukristo, hao Warumi walikuwepo wanaabudu miungu yao.

Kabla ya Wakoloni na wazungu kuja Afrika, Ukristo ulikuwepo Afrika kwani wanafunzi tena mitume wale 12 wa Yesu (Mathayo yule aliyeandika Injili ya Mathayo) walishafika Afrika ikiwemo Ethiopia ambapo Alianzisha Kanisa na kuwa Askofu wa Kwanza wa Pale Ethiopia na Mauti yake ilimkuta pale pale Ethiopia. Ebu wacha wenge dogo.
😂Dogo umesoma sampling, so Ethiopia ambayo ndo nchi moja, historical facts state that Christianity imekuwa officialized by Romans na ni Paul au saul ukimwita...wewe wa bonyokwa umeletewa na mwingireza na mjerumani aliyetawaliwa na mrumi ndo akaipata dini hii na ye kaitumia kukutawala.. biblia unayotumiwa imeundwa na warumi Tena baada ya mikutano ya kupiga kura Nini kiwekwe Nini kisiwekwe..Leo hii upo mbagala kwa Aziz Ali unasema we unajua Mungu kasema Nini ..
 
Dhana ya Mungu huyo kuwapo inakuwa contradicted na dunia tunayoishi.

Ni kama vile uniambie kuwa "kuna duara ambalo hapohapo ni pembetatu" katika Euclidean geometry.

Wakati tunajua duara halina pembe, na pembetatu ina pembe tatu. Duara lina nyuzi 360 na pembetatu ina nyuzi 180.

Dhana ya uwepo wa hiyo "duara pembetatu" ina contradiction, contradiction inaonesha hiyo "duara pembetatu" haipo, ni neno la hadithi ya kutungwa tu.
Umeeleza mifano bila kuweka Howard harisi ya contradiction husika, let go direct to that you named contradiction.

Na kwanini hayupo?
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Uvivu wako wa kuandika nao ni uthibitisho Mungu hayupo.

Yani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kashindwaje kukuondolea uvivu wako katika mada unayotaka kumtetea?
Wewe mbishi sana lkn nitakuthibitishia
 
Back
Top Bottom