G - The Apostle
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 606
- 1,146
Kiranga najua we ni Atheist nakumbuka ushasemwa humuHakuna Mungu, hakuna shetani. Hizi ni siasa za watu tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Kiranga najua we ni Atheist nakumbuka ushasemwa humuHakuna Mungu, hakuna shetani. Hizi ni siasa za watu tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Ila dogo hii Michezo acha, we know you au mpaka tukutaweke waziWewe inakuhusu nini?
Naam.Kiranga najua we ni Atheist nakumbuka ushasemwa humu
Hakuna cha kuchukua maelekezo, watu wanatumia ujinga wa wengine kutawalaPapa inaonesha wazi kabisa nae kuna mahali anachukua maelezo ya kipi afanye na kipi azungumzie.
Na hakuna aliyethibitisha kuwa hayupoNaam.
Mpaka sasa, hakuna aliyethibitisha Mungu yupo, hakuna aliyeondoa contradictions katika dhana ya Mungu kuwepo, hakuna aliyeondoa contradictions zilizo katika vitabu vya dini.
Hakuna fact ulizoweka hapo juu Mungu hayupo kwa wasio na imani na huwezi wathibitishia kwa sababu wako nje ya imani.Kwanza kabisa jua swala ni mnyama, hapa tunaongelea suala, si swala.
Pili, hujui immanent critique ni nini. Hujui kusoma kwa ufahamu.
Wewe ukisema Mungu yupo, kaumba ulimwengu, ulimwengu unaruhusu mabaya, ukifanya mabaya utahukumiwa.
Halafu mimi nikaja na kusema, sawa, ikiwa hilo ni kweli, kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya, kosa langu liko wapi hapo?
Unaposema hoja ya kutokuwepo Mungu ni msimamo wangu na watu kama mimi tu, unahakikishaje huu ni mtazamo wa watu fulani tu, au huu ni ukweli ulio zaidi ya mtazamo wa watu fulani tu?
Mimi siongelei imani hapa. Mimi naongelea fact. Imani sina haja ya kuiongelea. Imani ni haki ya kila mtu ya kiutu. Amini unavyotaka, amini uongo, ukweli. Ni haki yako, huhitaji kuhojiwa kwa nini unaamini unavyoamini.
Hapa naongelea facts, zinazoenda na ukweli tu, sasa kwa nini unaleta habari za imani ambazo unaruhusiwa kuamini uongo au ukw hapo juueli bila kuhojiwa?
Nimethibitisha kuwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hayupo na hawezi kuwepo.Na hakuna aliyethibitisha kuwa hayupo
Imani haihitaji fact, kwa nini unachanganya mazungumzo ya fact na ya imani?Hakuna fact ulizoweka hapo juu Mungu hayupo kwa wasio na imani na huwezi wathibitishia kwa sababu wako nje ya imani.
Unahoji imani kwa kutumia falsafa na sayansi?
Imani haihitaji fact, kwa nini unachanganya mazungumzo ya fact na ya imani?Hakuna fact ulizoweka hapo juu Mungu hayupo kwa wasio na imani na huwezi wathibitishia kwa sababu wako nje ya imani.
Unahoji imani kwa kutumia falsafa na sayansi?
Kwa hiyo wengine wanaamini baada ya kuikubali imani flani kutokana na ushawishi wa kile kilichomo ndani ya hiyo imani lakini huwezi kutumia sayansi au falisafa kuthibitisha imani hapo ndipo unapoingia ugumu na kila imani inakujibu kwa style yake, ni ingia kwenye imani kajaribu hapo kwa imani hiyo utapata jibu na hilo linaweza kuwa tofauti na unachotarajia, utaendeoea kuchanganyikiwa kila mtu aouthubutishie anakuonyesha kwa imani yake wewe unaleta falisafa zako wakati yeye hatumii hizo zama kwenye imani ukathibitishe huko hapo ulipong'ang'ania hupatikana jibu.
The problem of evil hahhaha
Mungu hayupo kwenye fact yupo kwenye imaniImani haihitaji fact, kwa nini unachanganya mazungumzo ya fact na ya imani?
Sasa hiki si ndicho ninachokisema kila siku?Mungu hayupo kwenye fact yupo kwenye imani
Ni mtu mjinga tu anayeweza kusema Mungu hayupo.Mifumo tu ya dunia ilivyotengenezwa kwa ustadi mkubwa unaona kabisa Mungu yupo.Hakuna Mungu, hakuna shetani. Hizi ni siasa za watu tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu huna imani Mungu hayupo kwako ila kwa walio na imani Mungu yupo hivyo basi wewe ukiona watu wanamzungumzia Mungu jua wanatumia imani sio hizo unwxoita fact kwa hiyo siku zote hatuwezi kukubaliana juu ya hilo unabaki na msimamo wako na wenzako piaSasa hiki si ndicho ninachokisema kila siku?
Mungu hayupo kwenye uhalisia (fact). Mungu ni dhana iliyojengwa vichwani mwa watu tu kuwa yupo (imani) wakati kiuhalisia, nje ya hiyo imani, nje ya hayo mawazo tu ya watu, Mungu hayupo.
Unakubaliana nami hapo.
Ni mjinga tu asiyeona uwepo wa Mungu kwa uhalisia.Sasa hiki si ndicho ninachokisema kila siku?
Mungu hayupo kwenye uhalisia (fact). Mungu ni dhana iliyojengwa vichwani mwa watu tu kuwa yupo (imani) wakati kiuhalisia, nje ya hiyo imani, nje ya hayo mawazo tu ya watu, Mungu hayupo.
Unakubaliana nami hapo.
Hiyo ni sssumption.Ni mtu mjinga tu anayeweza kusema Mungu hayupo.Mifumo tu ya dunia ilivyotengenezwa kwa ustadi mkubwa unaona kabisa Mungu yupo.
Kwa hiyo unakubali Mungu hayupo, ila unaamini tu kuwa yupo?Kwa sababu huna imani Mungu hayupo kwako ila kwa walio na imani Mungu yupo hivyo basi wewe ukiona watu wanamzungumzia Mungu jua wanatumia imani sio hizo unwxoita fact kwa hiyo siku zote hatuwezi kukubaliana juu ya hilo unabaki na msimamo wako na wenzako pia
Maji na mafuta
Imani na fact
Ndio maana hulazimishwi kuamini yupo hivyo msimamo wako hauwezi kuwa na ukweli kwa unavyoona wa wenzio.
Hili ni swala la imani sio mitazamo halipimwi kwenye mizani kati yake na falsafa inapimwa imani kwa imani, falsafa kwafalsafa , sayansi kwa sayansi. Na si from ni where.
Unavyoona kisayansi ndivyo wanavyoona kiimani , ingia katika imani uone ya imani na katika sayansi ya sayansi hakuna makubaliano kati ya pande mbili usiforce ni mmoja anaamua tu. Ila usiseme uko sawa
Theory of petfection
Hakuna neno umekariri km hlo thibitish thibitisha.Hakuna Mungu, hakuna shetani. Hizi ni siasa za watu tu.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Nimethibitisha mara nyingi.Hakuna neno umekariri km hlo thibitish thibitisha.
Ebu naww tuthibitishie kuwa hayupo?
Sbb n mtu unayelazmisha tusadik maneno yako ebu wathibitishie wanao amin kuwa yupo km ambvyo ww unasem hayupo simple like that
Wewe jamaa una tatizo la uelewa uhalisia unaposema ni upi hapo nishajuambia Maji na mafuta haya gani yaani utumie sayansi au falsafa kuhoji jambo la kiimani alafu utoe ilhitimidho lako kuwa hayupo kwasababu hujapats jibu kwenye sayansi au falsafa?Kwa hiyo unakubali Mungu hayupo, ila unaamini tu kuwa yupo?
Umesema Mungu ni jambo la imani, kweli au si kweli?Wewe jamaa una tatizo la uelewa uhalisia unaposema ni upi hapo nishajuambia Maji na mafuta haya gani yaani utumie sayansi au falsafa kuhoji jambo la kiimani alafu utoe ilhitimidho lako kuwa hayupo kwasababu hujapats jibu kwenye sayansi au falsafa?
Sasa unataka kusema uhalisia ni falsafa au sayansi? Si ndio na kama ni hivyo huoni hivi ni vitu viwili tofauti swala la will , ukithibitisha kutokuwepo kwa Mungu kwa njia ya falsafa na sayansi basi thibitisha pia kwa njia ya imani vya ngunrvyo unabaki kuwanufaisha mtazamo wako nikutakie mwaka mpya safi nenda kanisani au msikitini kasali ondoa kutu kidogo kichwani