Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

Ni nani huyo?
JESUS himself.

HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU.

KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI NA KUABUDU.

IN JESUS WE MUST TRUST AND WORSHIP.

JESUS AND ISRAEL FIRST AND FOREVER.

IF YOU DON'T LOVE JESUS WHO THE FAKIN HELL WILL YOU LOVE?

IF JESUS IS WITH US WHO THE FAKIN HELL WILL BE AGAINST US, WHO?

PENDA SANA YESU
 
Mkaldayo wewe ni mwehuuuuuu
 
Brainwashed and indoctrinated by Zionists propaganda. I can't argue with you mkuu.
Naona umeukimbia uzi wako.....
Hebu tueleze, leo hii unaweza kuvaa uso wa mbuzi na kumwambia mtoto wako, huko nchi za mbali kulitokea jamaa mmoja huko , alikufa, halafu akafufuka, na zaidi ya hapo akapaa kama superman angani...
Hayo maswali utakayo ulizwa utaishia na vitisho na kumchapa bakora za kutosha......
 
43fee1962d0afb56f743a01a207bde4e.png
 
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwapo?

Hujajibu swali hili la msingi.
umesha mdefine hapo juu nami nakuuliza kwanini aumbe ulimwengu wenye mema tu kwa mtazamo wako?

Je huu ullimwengu hujaona mema yake umeona mabaya tu?
 
Huu si ntazamo wangu tu.

Hii ni mantiki. Kwa kuangalia logical inconsistencies na contradictions tunaweza kujua ukweli na uongo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ana sababu zote za kuumba ulimwengu wenye mema tu.

Kuumba ulimwengu wenye mema tu hakuta contradict nature yake ya upendo wote.

Uwezo wa kuumba ulimwengu wenye mema tu anao.

Ujuzi wa kuumba ulimwengu wenye mema tu anao.

Hana sababu ya kutoumba ulimwengu wenye mema tu.

Ulimwengu ungekuwa na mema tu, usingem contradict Mungu huyo. Ingekuwa rahisi kusema ulimwengu umeumbwa na Mungu huyo bila ya kuwa na contradiction.

Kwa upande mwingine, kwenye kuumba ulimwengu unaoruhusu mabaya, Mungu huyo kuumba ulimwengu unaoruhusu mabaya ni contradiction. Mungu huyo kuumba ulimwengu unaoruhusu mabaya kuta contradict nature yake ya upendo wote.

Mungu huyo kuumba ulimwengu unaoruhusu mabaya, ni sawa na kuambiwa kuna baba ana uwezo, ujuzi na upendo wote wa kuwajengea watoto wake nyumba anavyotaka, lakini kachagua kuwajengea watoto wakr nyumba aliyotegesha mabonu nyumba nzima yanalipuka lipuka na kuwaua watoto wake.

Haiyumkiniki baba mwenye uwezo, ujuzi na upendo wote kwa wanawe, aende kuwajengea nyumba aliyoitegeshea mabomu, wakati alikuwa na uwezo wa kujenga nyumba ambayo ni salama tu haina mabomu.
 
Ukisema Mungu aliumba ulimwengu unaoruhusu mabaya ndani yake unaweza kuthibitisha jambo hilo ? unathibitishaje?
 
Usiniletee hizo hekaya za wayahudi nipe dhehebu la Ethiopia likowapi nikasali kama dini hapa bongo imetokea kwa waafrika wenzetu Ethiopian nipeleke kanisani kwao
Mkuu, tuombe uhai, mwishoni mwa 2024 nitakuwa na safari ya kwenda kujionea kanisa la kwanza la kikristu huko Ethiopia la wa coptiki ambapo nitapata fursa ya kujionea biblia ya kongwe kupita zote na ya kwanza kabisa ambayo iliandikwa na waethiopia hao.

Nitumie nafasi hii kukukaribisha katika safari hiyo mkuu.
 
Aah, huyu Mungu ukimuweka kwenye mizani ya kimantiki unaona kabisa katungwa na watu tu, hayupo kwenye uhalisia.

Eti Mungu anakasirika, anapendelea watu wake, ana wivu, anawalipizia kisasi watoto kizazi na kizazi kwa makosa ambayo hawajayafanya wao.

Yani zile zile tabia za watu, watu wamempa Mungu.

Wanasema Mungu kaumba watu kwa mfano wake.

Wakati ukweli ni kuwa watu wamemuumba Mungu kwa mfano wao.
Hakika Umevurugwa.
 
Mkuu, tuombe uhai, mwishoni mwa 2024 nitakuwa na safari ya kwenda kujionea kanisa la kwanza la kikristu huko Ethiopia la wa coptiki ambapo nitapata fursa ya kujionea biblia ya kongwe kupita zote na ya kwanza kabisa ambayo iliandikwa na waethiopia hao.

Nitumie nafasi hii kukukaribisha katika safari hiyo mkuu.
Aya
 
Ukisema Mungu aliumba ulimwengu unaoruhusu mabaya ndani yake unaweza kuthibitisha jambo hilo ? unathibitishaje?
Anajua ukweli wote huyo, sema anaamua kuchangamsha kijiwe tu.
 
Ukisema Mungu aliumba ulimwengu unaoruhusu mabaya ndani yake unaweza kuthibitisha jambo hilo ? unathibitishaje?
Sijasema Mungu aliumba ulimwengu unaoruhusu mabaya.

Mimi sitakiwi kusema hilo. Kwa sababu siamini Mungu yupo.

Watu wanaoamini Mungu yupo ndio wanasema Mungu kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya, ndio maana watu wanafanya mabaya, na watahukumiwa kwa mabaya hayo na Mungu.

Kwa mujibu wa maoni yao, ingekuwa ulimwengu hauruhusu mabaya, kungekuwa hakuna dhambi na thawabu, hakuna mbinguni wala motoni.
 
Hakika Umevurugwa.
Hata ikiwa kweli nimevurugwa, hilo nalo litaonesha tu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kwa sababu, angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao viumbe wake wanaweza kuvurugwa.
 
Huu si ntazamo wangu tu.

Hii ni mantiki. Kwa kuangalia logical inconsistencies na contradictions tunaweza kujua ukweli na uongo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ana sababu zote za kuumba ulimwengu wenye mema tu.

Kuumba ulimwengu wenye mema tu hakuta contradict nature yake ya upendo wote.

Uwezo wa kuumba ulimwengu wenye mema tu anao.

Ujuzi wa kuumba ulimwengu wenye mema tu anao.

Hana sababu ya kutoumba ulimwengu wenye mema tu.

Ulimwengu ungekuwa na mema tu, usingem contradict Mungu huyo. Ingekuwa rahisi kusema ulimwengu umeumbwa na Mungu huyo bila ya kuwa na contradiction.

Kwa upande mwingine, kwenye kuumba ulimwengu unaoruhusu mabaya, Mungu huyo kuumba ulimwengu unaoruhusu mabaya ni contradiction. Mungu huyo kuumba ulimwengu unaoruhusu mabaya kuta contradict nature yake ya upendo wote.

Mungu huyo kuumba ulimwengu unaoruhusu mabaya, ni sawa na kuambiwa kuna baba ana uwezo, ujuzi na upendo wote wa kuwajengea watoto wake nyumba anavyotaka, lakini kachagua kuwajengea watoto wakr nyumba aliyotegesha mabonu nyumba nzima yanalipuka lipuka na kuwaua watoto wake.

Haiyumkiniki baba mwenye uwezo, ujuzi na upendo wote kwa wanawe, aende kuwajengea nyumba aliyoitegeshea mabomu, wakati alikuwa na uwezo wa kujenga nyumba ambayo ni salama tu haina mabomu.
Hapa hakuna statement ya wewe kusema hivyo hapa chini unajikana kwa kuingizia watu wanaosema .... Hii kama ndio reason yako una shida
Sijasema Mungu aliumba ulimwengu unaoruhusu mabaya.

Mimi sitakiwi kusema hilo. Kwa sababu siamini Mungu yupo.

Watu wanaoamini Mungu yupo ndio wanasema Mungu kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya, ndio maana watu wanafanya mabaya, na watahukumiwa kwa mabaya hayo na Mungu.

Kwa mujibu wa maoni yao, ingekuwa ulimwengu hauruhusu mabaya, kungekuwa hakuna dhambi na thawabu, hakuna mbinguni wala motoni.
Okay kama unasema hutakiwi kusema hivyo kwa kuwa wewe huamini Uwepo wa Mungu basi kutokuwepo kwa Mungu kunabaki kuwa mtazamo wako na watu wa aina yako.

Falsafa zinakuharibu kiakili, theory ya the problem of evil inajikita upande mmoja tu haliangalii upande mwingine hata hivyo inakuachia wewe uamue mwisho inasema ni swala la kiimani.

Swala la uwepo wa Mungu ni swala la kilimani na wewe unatumia sayansi na falsafa kutaka kuthibitishiwa uwepo wa Mungu utakuwa unatumia akili ndogo.

Kamilisha kwa kusema kutokana kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu ni swala linalogawa pande mbili imani na kutokutumika kwa imani.

Sasa wewe unapokataa imani ambayo kwa hiyo ndio inathibitisha uwepo wa Mungu kwa context yake na kutaka uthibitlisho wake ufanyike kwa context yako nje ya imani ni kitu hutokaaa ukipate kamwe unatengeneza tu profile ya ubishi lakini hiyo hubaki kwenye maamuzi yako binafsi.

Ukitaka kujibiwa juu ya uwepo wa Mungu lazima uangukie kwenye imani sio falsafa na sayansi. UKibisha hapa wewe ni Kiranga kweli.

Narudia tena kama umeamua kusema hakuna Mungu huo ni mtazamo wako binafsi na wanao amini hivyo pia lakini ili upate uthibitisho nenda kwenye imani acha falsafa na sayansi.

Jamaa alikuwa anasali alivyosema pcm na engineering akawa haamini uwepo wa Mungu kwa sababu sayansi haijathibitisha wakati alipokuwa mdogo aoiamini rejea neno aliamini hii manake ni katika imani ila kaiacha imani anataka apate majibu ya kiimani kwenye sayansi na falsafa
 
Kwanza kabisa jua swala ni mnyama, hapa tunaongelea suala, si swala.

Pili, hujui immanent critique ni nini. Hujui kusoma kwa ufahamu.

Wewe ukisema Mungu yupo, kaumba ulimwengu, ulimwengu unaruhusu mabaya, ukifanya mabaya utahukumiwa.

Halafu mimi nikaja na kusema, sawa, ikiwa hilo ni kweli, kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya, kosa langu liko wapi hapo?

Unaposema hoja ya kutokuwepo Mungu ni msimamo wangu na watu kama mimi tu, unahakikishaje huu ni mtazamo wa watu fulani tu, au huu ni ukweli ulio zaidi ya mtazamo wa watu fulani tu?

Mimi siongelei imani hapa. Mimi naongelea fact. Imani sina haja ya kuiongelea. Imani ni haki ya kila mtu ya kiutu. Amini unavyotaka, amini uongo, ukweli. Ni haki yako, huhitaji kuhojiwa kwa nini unaamini unavyoamini.

Hapa naongelea facts, zinazoenda na ukweli tu, sasa kwa nini unaleta habari za imani ambazo unaruhusiwa kuamini uongo au ukweli bila kuhojiwa?
 
Back
Top Bottom