Alichopost Mel Gibson katika mtandao wake wa kijamii

The Problem of Evil.

1. Mungu anayesemwa yupo ana tabia za kuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Kwa hapa naona hoja yako imejikita kwenye Tabia za Mungu ambazo wewe unazisikia zinasemwa.Kimsingi Swala la Tabia za Mungu Tuliache tujadili uwepo au kutokuwepo wake bila kujali tabia zake,Kwani Tabia zake na uwezo wake hauna mipaka kama wewe unavotaka kuamini au unavoaminishwa.
2. Mungu mwenye tabia hizo, kimantiki, yuko mutually exclusive na ulimwengu unaoruhusu mabaya kuwepo.
Hii hoja ni muflisi kwa kuzingatia misingi ya tabia ya Mungu kama Nilivyokataa hapo juu
3. Ama Mungu huyo yupo, na ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo. Ama ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, na Mungu huyo hayupo. Viwili hivi, Mungu huyo na ulimwengu unaoruhusu mabaya, haviwezi kuwa vyote vipo.
Kwa Mungu ninayemwamini Vyote vinawezekana na hiyo mipaka unayoweka hata katika hali ya kibinadamu hakuna.Binadamu wenyewe wanao uwezo wa kutenda Mema na kutenda Mabaya so sidhani kama Uwezo huo Mungu anaukosa.Tujadili uwepo au kutokuwepo kwake.Kwa Upande wa Tabia tuishi umo
4. Tunaona kwamba ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, ndio huu tunaoishi.

5. Hivyo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Hoja yako namba 4 na 5 zimekuwa quashed kwa Misingi ya Kwamba Suala sio Tabia au uwezo wa Mungu bali ni uwepo wake.So kimsingi Hujathitibitsha kwamba Mungu bali umehoji juu ya tabia,uwezo na ujuzi wa Mungu.Maeneo ambayo ili kuyaelewa lazima uwe tayari kwanza kukubali uwepo wake ili uweze kumuelewa.
Uwepo wa Mungu huyo na ulimwengu huu unaoruhusu mabaya ni contradiction. Contradiction hii haitatuliki na inatuonesha Mungu huyo hayupo.

Huyo Mungu yupo kwenye hadithi za kutungwa na watu tu, nje ya hizo hadithi za kiimani hayupo.
 
Uthibitisho wa Mungu kuwapo is not something tangible kwamba nitathibitisha ABC na ukaweza kuishika his ABC ukairamba na kuipigapiga nakusema Yes huu uthibitisho.

Uthibitisho wa Mungu ni more Intangible thing ambao kwa abilities kubwa I can approx 90% integrated in our mind direct na yeye Mungu, inamaanisha being a human ulikaa chini automatically your mind ina realize kuwa Mungu yupo na ameniumba....Hii kitu ngumu kukuwekea kwenye tangible form ukaona na siwezi.

Pia, uthibisho wake kwa asilia chache sana unaweza thibitika via tangible things like Full ecosystem ya universe ilivyokuwa designed.

Kwa akili ya kawaida Universe iliyo undwa lazima imekuwa designed na designer kutokana na work flow yake kuwa very systematic chopping their little thing like Solar enery>Photosynthesis >Food chain>Death....Is that happened just VUUUP??

Hapo juu inatosha kuthibisha tattoo lako unataka uthibitisho ulioutengeneza wewe kichwani, seems your mind umei-program kataka uthibisho wako wewe ambao hauwezekani, only thing you need to know masuala ya Mungu ni beyond our thinking ability sisi wenye imani still in learning day by day, itakuwa ngumu kupewa uthibisho wa hili jiwe ulione jiwe,....Free your mind before kuyaendea haya mambo.
Kwa style hii naweza kukuambia mavi niliyokunya leo asubuhi ni Mungu, ila ni intangible wewe huwezi kuelewa tu.
 
1. Kuna tofauti gani na kitu intangible invisible na kitu ambacho hakipo?
2. Huyo Mungu Naye alitokea tu Vuup?
 
God is great and hidden and we cannot understand it with human thoughts that are lacking because of sin.

This is why we need to believe his announcement. God created the world and he guides and governs it. and much more - God became a man in Christ Jesus here on earth and freed us from our sins.

There is no other and there is no other God.

I am Alpha and Omega, the beginning and the end, says the Lord God, who is and who was and who is to come, the Almighty.
(Revelation 1:8)

Ni vigumu sana kwako kutaka ujue kama Mungu yupo ama la, kwa sababu ya Dhambi na makosa ambayo huwatendea wengine, lakini pia kama nilivyoandika hapo Juu, hauwezi kufahamishwa na ukamwelewa Mungu iwapo u hali ya kibinadamu kwa kuwa yeye Mungu asema, Mungu ni roho na utakapo kumwabudu, yakubidi nawe uwe katika roho na kweli

Kwa kuwa hayo yoote ni mageni na umeyakataa tangu ulipotaka kumfahamu Mungu ukiwa katika hali ya kuhangaika saana na usijue anatafutwaje na ataonekana vipi, ulipomkosa katika hali yako ya dhihaka hiyo, ukajipatia jibu la moja kwa moja kwamba Mungu hayupo!

Lakini nikuulize swali dogo nami la ufahamu, ni wapi umewahi kuona kiwanda cha ķutengeneza Damu mkuu!
😂😂😂Mwili wako ni kiwanda Cha damu...next question
 
Kweli binafsi huwa nawashanga watu kusema Wazungu walileta Ukristo wakati ukisoma biblia kitabu cha matendo ya mitume unaona kuna mkush alikuwa anatoka kwa Ethiopia hadi Jerusalem kuhiji na biblia inasema kusiku mtume Philipo alimkuta anasoma kitabu cha Isaya, kwahiyo afrika ilikuwa mbele kiimani kuliko hao wazungu. Wazungu baada ndiyo walikuja kuona Ukristo ni dili wa kaudandia kwa faida zao.
Ethiopia na mbagala kwa zakiem ni sehemu ishirini tofauti
 
God is great and hidden and we cannot understand it with human thoughts that are lacking because of sin.

This is why we need to believe his announcement. God created the world and he guides and governs it. and much more - God became a man in Christ Jesus here on earth and freed us from our sins.

There is no other and there is no other God.

I am Alpha and Omega, the beginning and the end, says the Lord God, who is and who was and who is to come, the Almighty.
(Revelation 1:8)

Ni vigumu sana kwako kutaka ujue kama Mungu yupo ama la, kwa sababu ya Dhambi na makosa ambayo huwatendea wengine, lakini pia kama nilivyoandika hapo Juu, hauwezi kufahamishwa na ukamwelewa Mungu iwapo u hali ya kibinadamu kwa kuwa yeye Mungu asema, Mungu ni roho na utakapo kumwabudu, yakubidi nawe uwe katika roho na kweli

Kwa kuwa hayo yoote ni mageni na umeyakataa tangu ulipotaka kumfahamu Mungu ukiwa katika hali ya kuhangaika saana na usijue anatafutwaje na ataonekana vipi, ulipomkosa katika hali yako ya dhihaka hiyo, ukajipatia jibu la moja kwa moja kwamba Mungu hayupo!

Lakini nikuulize swali dogo nami la ufahamu, ni wapi umewahi kuona kiwanda cha ķutengeneza Damu mkuu!
Kwa style na mimi naweza kukuambia mavi yangu niliyokunya leo asubuhi ndiyo Mungu, ila wewe huwezi kuelewa tu, ni mambo yaliyopita akili za watu.
 
Kwa hapa naona hoja yako imejikita kwenye Tabia za Mungu ambazo wewe unazisikia zinasemwa.Kimsingi Swala la Tabia za Mungu Tuliache tujadili uwepo au kutokuwepo wake bila kujali tabia zake,Kwani Tabia zake na uwezo wake hauna mipaka kama wewe unavotaka kuamini au unavoaminishwa.

Hii hoja ni muflisi kwa kuzingatia misingi ya tabia ya Mungu kama Nilivyokataa hapo juu

Kwa Mungu ninayemwamini Vyote vinawezekana na hiyo mipaka unayoweka hata katika hali ya kibinadamu hakuna.Binadamu wenyewe wanao uwezo wa kutenda Mema na kutenda Mabaya so sidhani kama Uwezo huo Mungu anaukosa.Tujadili uwepo au kutokuwepo kwake.Kwa Upande wa Tabia tuishi umo

Hoja yako namba 4 na 5 zimekuwa quashed kwa Misingi ya Kwamba Suala sio Tabia au uwezo wa Mungu bali ni uwepo wake.So kimsingi Hujathitibitsha kwamba Mungu bali umehoji juu ya tabia,uwezo na ujuzi wa Mungu.Maeneo ambayo ili kuyaelewa lazima uwe tayari kwanza kukubali uwepo wake ili uweze kumuelewa.
Kwa nini unataka kujadili Mungu bila kum define kwa tabia zake?

Tabia za Mungu ndizo zinampa uungu, bila tabia hizo, Mungu si Mungu.

Sasa unawezaje kumjadili Mungu bila kukubali tabia zake?
 
Hata kuabudu hiyo mizimu ya mababu nao ni upumbavu tu, kifupi hakuna kitu wala kiumbe yeyote anayetakiwa kuabudiwa awe visible/invisible au mortal/immortal, mungu wako ni wewe mwenyewe ukifa ndio imeisha hiyo
Upo sawa. Ila at least naweza kumuelewa mtu anaamini mizimu ya mababu zake kuliko anaejikakamua kupigania hadithi za kuletwa na wazungu na waarabu.
 
Nimeipitia na ni me quash hoja zako kwa sababu bado hazijaonesha ushahidi kwamba Mungu hayupo
Ushahidi gani utakutosha na kukuridhisha kuwa Mungu hayupo?

Nisije kuwa nataka kukupa ushahidi, wakati ushajiwekea kuwa hakuna ushahidi utakaotosha na kukuridhisha kuwa Mungu hayupo.
 
Kwa nini unataka kujadili Mungu bila kum define kwa tabia zake?

Tabia za Mungu ndizo zinampa uungu, bila tabia hizo, Mungu si Mungu.

Sasa unawezaje kumjadili Mungu bila kukubali tabia zake?
Kwani unawezaji kujadili Tabia za Mungu bila kwanza kujadili uwepo wake?Unajaribu kutangula Mkokotone mbele ya Farasi.Kwanza Tujadili Uwepo wa Mungu Kisha Tukisha Afiki kwamb yupo ndipo tujadili kwamba tabia zake zikoje.Sio kujadili Tabia zake kisha ndo tujadili iwapo yupo au hayupo.

Kwa mfano wewe bwana Kiranga,najua na kuamini upo huko ulipo na sio robot wala AI wala mtu mwingine anajiita wewe bali ni wewe kisha baada ya hapo ndio nitajadili tabia fikra na mitazamo yako ila siwez anza zijadili hizo ilhali hata uwepo wako wenyewe ninaukataa
 
Ushahidi gani utakutosha na kukuridhisha kuwa Mungu hayupo?

Nisije kuwa nataka kukupa ushahidi, wakati ushajiwekea kuwa hakuna ushahidi utakaotosha na kukuridhisha kuwa Mungu hayupo.
Kwani wewe kuna ushahidi utakaokutosha kukuthibitishia kwamba Mungu Yupo?
 
Back
Top Bottom