Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Alichonitenda Sweetylady Mungu anajua

Nimefungua nikaona vile unapiga fuko la mahela teke......think twice nitonye.....hii ni baraka (source😡King'asti) baba usiichezee manake haiji mara mbili!

Pesa ni maua huchanua na kunyauka
 
Last edited by a moderator:
Wee unasema! Umesahau tulivyodhalilishwa humu kwaajili yako.
Wala usijipe shau.....
Nitakukuda ohoooooo bado tuna maumivu
Au untaka umchukue na Nitonye?

Tatizo mnashoboka na masharo wa Arachuga watawatenda mbofu we Bishanga alisema anaanza kukupenda mbona hujamfatilia dawa ni kushoboka na vibabu japokuwa havijatulia
 
nitts,at last umefunguka,ndugu yangu i fought for you,angani,baharini,nchi kavu kote nilipambana kulinda mahusiano yako na SL,hakika mahusiano hayo tulipenda yadumu lakini Mungu aliyapenda zaidi.
Ushauri wa bure:
Tulia,relax,jitie hamnazo,iko siku SL atakuangukia we mwache tu hamjui Vin Diesel,mtesaji sana wa wanawake yule.

Kweli nimeamini mbaya wako ni yule unayekula naye.....Hata bishanga anatoa ushauri kwenye hili!!!
 
Back
Top Bottom