Ali Kiba - Lupela

Ali Kiba - Lupela

wabongo tushazoea mondi anaimba afropop zile za tudd na kiba anaimba zouk-rhumba zile za manwater, sasa now abidady kanipigia beat moja ya kibabe sana ya electro, mziki ambao hatujauzoea
Tupo flexible siyo style hiyo hiyo acha uwongo nyimbo ya mond na khadija kopa ni aina gani?
 
Mkuu waache wamalize hasira zao unawapa kichwa bure

Mkuu mi nahisi Diamond atakuwa amefanya figisufigisu video itoke mbaya au unasemaje? Kwasababu kuna watu wanatumia pesa nyingi sana ili King azidi kuwa nyuma kama vitobo vya mkasi...
 
hii nyimbo mpya ya ali kiba lepela inanifanya namaliza sana chaji ya simu yangu,nikiwa nyumbani mpaka majirani wanasema nasumbua ki ukweli i like this song,big up ali k kwa kutekenya akili yangu namna hii.

nb.sina timu napenda kazi nzuri.

lepela ndo wimbo gani wewe sema lupela ueleweke alaff wewe unapiga mziki kwenye simu hiyo kelo kwa majirani ni vepeeee
 
Ingekuwa kila mtu baada ya kusiliza muziki kwenye simu yake aanzishe thread hapa, JF isingetosha.
 
hii nyimbo mpya ya ali kiba lepela inanifanya namaliza sana chaji ya simu yangu,nikiwa nyumbani mpaka majirani wanasema nasumbua ki ukweli i like this song,big up ali k kwa kutekenya akili yangu namna hii.

nb.sina timu napenda kazi nzuri.
 
kwa maoni yangu nadhani video sio mbaya amefanya poa labda tu iyo scene ni moja imekua monotonous kidogo nadhani kwasababu wimbo ni mfupi, ila big up kwake.
 
wabongo tushazoea mondi anaimba afropop zile za tudd na kiba anaimba zouk-rhumba zile za manwater, sasa now abidady kanipigia beat moja ya kibabe sana ya electro, mziki ambao hatujauzoea

Kiba is fake, si mwanamuziki ni muimbai tu wa karaoke bar.
 
Lakini kwa hili Kiba is way smart, alishajua mziki wake unapotea na kama sio kutembea na bifu la Diamond leo hii wala asingeweza hata kupambana na hawa wasanii wengine wadogo.. Anatembea na kivuli cha Diamond na kinamlipa vizuri tu... Nyie mashabiki ndio mnajazwa povu tu..

Mwacheni Balozi wa Wanyama apige kazi, yeye kama Balozi wa Wanyama aliyejitangaza lazima aonyeshe angalau mnyama mmoja au zaidi kwenye video yake.

Kwa hiyo unataka kusema Kiba anasafiria nyota ya bifu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom