kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
jamani nasubiria picha mbona sizion?
Subiri wanakata kata vipande ili waweke kitu cha picha duka. Wakimaliza watatupia tu
jamani nasubiria picha mbona sizion?
Ow pole nimeblock pm zidondoshe apa thn utazifuta kama vip
Sorry ndugu we unayo?
Wana ugonjwa wa kutojiamini, tuwasamehe tu, ni kawaida yao na viherehere km mke wa balozi, waliuanzisha kwa mbwembwe kweli ila hawaishi kujivua nguo huku, tushawazoea ni wa kuangalia tu!! They learned from the best.
nikimkuta mtu humu kwa king kiba anamuongelea domo tutamchekecha
Wa kuwaacha tu, wajifariji weee then watuondolee usiku
Hizo ni baadhi ya stations chache za kimataifa zinapiga video za king wa bongo au muimbaji bora wa kiume Tanzania nzima
Can't do that..siwezi kuexpose no yangu hapaOw pole nimeblock pm zidondoshe apa thn utazifuta kama vip
Eti wakati wake umeisha!!! Nani kasema?? Na km wakati wake umeisha kwann watumie nguvu? Kwann awaumize? Wamuache afanye yake kwa nafasi yake, kelele za chura tuu hizo
Kubwa jinga lile tupa kuleee!Ikibidi weka kwenye ignore list. Jamaa mshenzi sana yule, nini maana ya kuwepo kwa threads mbili tofauti ama kule kwao kumebanana sana kiasi kwamba ushuzi wa ndomo wao anakuja kujambia huku? Anatufanya sie wajinga....kwani mpaka tumeamua kumchagua Kiba hatukujua ka kuna Diamond? Mfyuuuu zake, huyo ndo atakuwa wa kwanza kukaa kwenye ignore list tangu nijiunge jf!aise wananikera sana hasa yule kedrick anazingua sanaaaaaaaa ila sawa tuwapotezeeeni
Hizo ni baadhi ya stations chache za kimataifa zinapiga video za king wa bongo au muimbaji bora wa kiume Tanzania nzima
Wewe naona umepaniki bure ukome kuniita beach kuwa mstaarabu and grow up.
Hayo maswali kaulize huko siyahitaji mimi. Roho zingine za ajabu kweli kweli.:thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown:
Lakini hapa tusubiri vipicha vya kwenye GROCERY,HARUSI na BIRTHDAYAshukuriwe Diamond kwa kumwamsha usingizini Ally Kiba...
Al the best katika show zake, ana sauti nzuri sana hiyo ni moja ya asset zake. Twasubiri mipicha
Tatizo la wabongo utapiamlo umewatafuna hadi akili,sauti nzuri ndo usanii?CHAMELEONE,DON JAZZY,DAVIDO,20% Wana sauti nzuri ?????SAUTI NZURI KAWE MTANGAZAJI KAMA VIPI.Tuache ushabiki Kiba ana sauti ambayo sio ya kuedit. Sikiliza cheketua vizuri kisha rudi nyuma sikiliza sinderela. Kiba mkali sana bali alikosa wasimamizi wazuri ila kwa sasa tunaamini atakata kiu zetu. Kila la heri kiba.