Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hata ivo alikuita beach girl, maybe unapenda sana kushinda ufukweni.
Hii lugha ya Malikia ni tatizo.Ila kama alimaanisha alichotaka kumaanisha huyu mtu ni mkorofi sana na kavuka mipaka ya ushabiki ndumba wake.

Huyu nilimuelewa sana hakumaanisha hii ya kawaida. Kwanini ahisi vitu visivo na ukweli. Kaandika hvo kwa ile meaning nyingne akakosea kuiandika kiusahihi.
 
Huyu nilimuelewa sana hakumaanisha hii ya kawaida. Kwanini ahisi vitu visivo na ukweli. Kaandika hvo kwa ile meaning nyingne akakosea kuiandika kiusahihi.

Beach girl ndio nini?
Anajitia wazimu ila anajua alichotaka kumaanisha.
 
Kubwa jinga lile tupa kuleee!Ikibidi weka kwenye ignore list. Jamaa mshenzi sana yule, nini maana ya kuwepo kwa threads mbili tofauti ama kule kwao kumebanana sana kiasi kwamba ushuzi wa ndomo wao anakuja kujambia huku? Anatufanya sie wajinga....kwani mpaka tumeamua kumchagua Kiba hatukujua ka kuna Diamond? Mfyuuuu zake, huyo ndo atakuwa wa kwanza kukaa kwenye ignore list tangu nijiunge jf!

Mambo mamy?
Ivi ukimtupiamo huko kweny ignore list sitaona ushenzi wake ee? Au inakuajeeeee
 
1. Wote ambao tupo team DIAMOND tulikua wapenzi wazuri wa ALLI KIBA once.

2. Bifu walilianzisha wenyewe team kiba, kumchukia DIAMOND bila sababu. Ilhali uzembe alifanya kiba mwenyewe kujipoteza ktk game.

3. Diamond hajawahi kukiri ktk media kwamba ana bifu na ALLI, ila Kiba amejitamba here n there kwamba hampendi DIAMOND.

4. BIFU.: team kiba kwasasa wanategemea ugomvi huu uendelee. Kwani watu wanalazimika kupay attention.,,as in Whats up with these two.!! KINYUME NA HAPO KIBA ANGESHA RIH mdaa.

5. Diamond ni ICON ambayo lazima kila msanii ameichukua kama njia ya mafanikio.

Ahsanteni. UJUMBE HUU USOMWE KATIKA MEDIA.
 
Team kiba.. team mitusi..hatari saana
Any way kila msanii ajifunze kwa dai
 
+Upo sawa kabisa, huo ndo ukweli ingawa mchungu inabidi waunywe tu hamna jinsi

+nipo hapa kipembeni nasubiri nione mapovu yakimwagwa!
 
1. Wote ambao tupo team DIAMOND tulikua wapenzi wazuri wa ALLI KIBA once.

2. Bifu walilianzisha wenyewe team kiba, kumchukia DIAMOND bila sababu. Ilhali uzembe alifanya kiba mwenyewe kujipoteza ktk game.

3. Diamond hajawahi kukiri ktk media kwamba ana bifu na ALLI, ila Kiba amejitamba here n there kwamba hampendi DIAMOND.

4. BIFU.: team kiba kwasasa wanategemea ugomvi huu uendelee. Kwani watu wanalazimika kupay attention.,,as in Whats up with these two.!! KINYUME NA HAPO KIBA ANGESHA RIH mdaa.

5. Diamond ni ICON ambayo lazima kila msanii ameichukua kama njia ya mafanikio.

Ahsanteni. UJUMBE HUU USOMWE KATIKA MEDIA.

Acha kuleta habari za uwongo hakuna siku ambayo Ali kiba alidiriki kusema "Simpendi Diamond"
Huu ni ugombanishi ulio wazi
 
Kabisa hebu tujifunze asee kama unamkubali team Flani ni wewe,hata siku moja shabiki wa ronaldo hatomkubali messi so tujaribu kuandika vitu vya maana

Kushindwa kubali juhudi za mtu ambae amekuzidi, na wajua kabisa amekuzidi. Ni UPUMBAVU.
 
Jaribu kuelewa aiseee, una favorite wako Nina favourite wangu,cjasema kwamba sikubali juhudi zake,
 
Hii video waliipiga lakini haikuweza kuingia kwenye chart yoyote kwenye hizo Tv stations za kimataifa. Ile chart ya african top 10 na urban top 30.
 
Back
Top Bottom