Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sisi tunatumia Tecno mjomba nyie wenye mainternationale respected devices muwe mnatuhabarisha tu sio mbaya.
Si unajua sie bado tupo local level....aaaah mjombaaa!!!

Kwani habari inachagua simu si ili mradi net tuuu.
Ila sawa hakuna shida habari hiyo hapo!
 
Msanii ambaye ana miaka zaidi ya 15+ kwenye game mashabiki wake leo wanasherehekea msanii wao video yake kuchezwa kwenye chanels za nje( japo imekaa kama photoshop) wakati DIAMOND aliye kwenye GAME MIAKA 5 TU LAKINI VIDEO ZAKE KUCHEZWA NJE NI JAMBO LA KAWAIDA SANA
 
Hayo ni mafanikio ni ya kujivunia kama nchi. Tunatakiwa kuwa na mastaa zaidi ya watano ili tuliteke soko la Muziki na siyo kubaniana na kurudishana nyuma.
 
Kiba ndan ya US.... wakimbizeeeeeee..
All the best kiba squire
 

Attachments

  • 1433621221298.jpg
    1433621221298.jpg
    25.3 KB · Views: 128
Msanii ambaye ana miaka zaidi ya 15+ kwenye game mashabiki wake leo wanasherehekea msanii wao video yake kuchezwa kwenye chanels za nje( japo imekaa kama photoshop) wakati DIAMOND aliye kwenye GAME MIAKA 5 TU LAKINI VIDEO ZAKE KUCHEZWA NJE NI JAMBO LA KAWAIDA SANA

sio kudumaaa huko ni huruma yaani
 
Congrats Bro u were born super star so continue shining till u touch the sky. Team tz
 
Tupo hapa maryland-MD us tunaenda kumsupport Alikiba the king..kwa kweli mm sio mtu wa show sana lakini naenda tu ili kumsupport Ali-wanamziki wetu wanajituma lakini jasho lao linaenda bure tu.Inasikitisha mno..Lakini pamoja na hatua nyingine wabongo tujenge utamaduni wa kuwasupport wanamziki wetu.Haya wabeba box wa MD tukutane kwa Ali na huko home ntawaletea kilichojiri pamoja na picha kali kali.
 
Hizo ni baadhi ya stations chache za kimataifa zinapiga video za king wa bongo au muimbaji bora wa kiume Tanzania nzima

Unawezaje kubahatisha chanel zote mbil pozi moja mdau au ndo photo shop
 
Ashukuriwe Diamond kwa kumwamsha usingizini Ally Kiba...

Al the best katika show zake, ana sauti nzuri sana hiyo ni moja ya asset zake. Twasubiri mipicha
 
Alikiba ni msanii mkali sana Africa, pale dai lazima jasho limtoke hadi kumfikia King, unajua bila fitina za dai basi Leo hii tungekuwa tunaongea mengine kabisa
 
Back
Top Bottom