Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Yeah, utakua huoni dear.
+Honera Kiba kwani kwa ile wiki ya kwanza kutoka ilichezwa chezwa kwenye baadhi ya channel za kimataifa hongera kwa hilo
 28079; 28079; 28079; 28079; 28079; 28079;
+halafu nyie team Kei mnaonekana hamfuatilii habari mlikuaga wapi kusherehekea hii habari ya February 3 mnasherehekea leo.
+ ha haa haaa  28513; 28513; 28513; 28513; 28512;
Msijipe moyo video ya mwana kwa sasa haipigwi kituo chochote cha kimataifa, TBC kwenyewe hawapigi washaitia kapuni, sasa hivi habari ya maMTV huko ni Nana tu!
Hahaha m mwenyewe nimeshangaa hii habari ina mda sana ilisha chacha na hii video kwa masikitiko makubsa haikuweka kudumu kwenye airtime ya hizo tv stations. Wala kuingia kwenye chart yoyote ile maskini. Kwa taarifa tu mtanzania au mEast africa wakwanza kukaa #1 trace ni Diamond Plutnumz na alidumu kwa wiki3. Then Ntampata wapi nayo ikaingia cna uhakika sana na Mdogomdogo.
Yaaan raha mustarehee akituma ushuzi wake unapita kushoto nyoooooo akafie mbali
Halafu kuna sehemu nimewaona wanalialia nikawaacha tu.
Walikua hawana taarifa kama habari imeeksipaya sasa nimeshawapasha habare ha haa haaa
Ushuzi dawa yake ushuzi kama ivi safiii....nyau zake.
Kushindwa kubali juhudi za mtu ambae amekuzidi, na wajua kabisa amekuzidi. Ni UPUMBAVU.
1. Wote ambao tupo team DIAMOND tulikua wapenzi wazuri wa ALLI KIBA once.
2. Bifu walilianzisha wenyewe team kiba, kumchukia DIAMOND bila sababu. Ilhali uzembe alifanya kiba mwenyewe kujipoteza ktk game.
3. Diamond hajawahi kukiri ktk media kwamba ana bifu na ALLI, ila Kiba amejitamba here n there kwamba hampendi DIAMOND.
4. BIFU.: team kiba kwasasa wanategemea ugomvi huu uendelee. Kwani watu wanalazimika kupay attention.,,as in Whats up with these two.!! KINYUME NA HAPO KIBA ANGESHA RIH mdaa.
5. Diamond ni ICON ambayo lazima kila msanii ameichukua kama njia ya mafanikio.
Ahsanteni. UJUMBE HUU USOMWE KATIKA MEDIA.
Waoooo yaani raha burudaniiiii....nimemweka mimeseji yake yote ipo hidden ila nazan atakazoanza kutuma sitaziona kabisa....
Adi nimeshiba kwa furaha
Hahah noma sna tunajua habari za msanii wao kulko wao mashabiki wakereketwa. We lov tz music 4real
Hiyo hapo mkononi kwa King si iPhone 6 jamani? Maana kuna limburula huku linasemaga King anatumia tecno sijui!