Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Alikiba ni msanii mkali sana Africa, pale dai lazima jasho limtoke hadi kumfikia King, unajua bila fitina za dai basi Leo hii tungekuwa tunaongea mengine kabisa

mmnh,ya ukweli haya?dai alimfanyia fitina kingkiba?
mi naomba unitumie picha za show ikifanyika kakaangu.
 
Show za kupiga ndani ya sebule za matajir wa huko state duuuh
 
Tuache ushabiki Kiba ana sauti ambayo sio ya kuedit. Sikiliza cheketua vizuri kisha rudi nyuma sikiliza sinderela. Kiba mkali sana bali alikosa wasimamizi wazuri ila kwa sasa tunaamini atakata kiu zetu. Kila la heri kiba.
 
Nitarudi tanesco wanzngua
 

Attachments

  • 1433659669934.jpg
    1433659669934.jpg
    18.6 KB · Views: 85
Maneno ya mkosaji kwahyo asifanye yake kisa domo. Kwani wasanii wengine wanafanya nini.
Nonsense and bull.st.
Which question did you answer beach girl?
Niliuliza hivi:
Where was he?
who made him back???
Wasn't he there?
................
wewe umeishia kunivulia nguo zote! Unadhani nitakubakiza mzima?
 
Tuache ushabiki Kiba ana sauti ambayo sio ya kuedit. Sikiliza cheketua vizuri kisha rudi nyuma sikiliza sinderela. Kiba mkali sana bali alikosa wasimamizi wazuri ila kwa sasa tunaamini atakata kiu zetu. Kila la heri kiba.

Hilo suala la kukosa wasimamizi wazuri mmeligundua baada ya ujio wa Diamond au?
Enzi hizo alikuwa na management gani mpaka sasa mseme ana management mbovu?
 
sawa tunasubiria picha ili tujue kama ni show kweli ama birthday party, natumai hutaingia mitini
 
Back
Top Bottom