Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hizo ni baadhi ya stations chache za kimataifa zinapiga video za king wa bongo au muimbaji bora wa kiume Tanzania nzima
 
Attachments

  • 1433591762774.jpg
    1433591762774.jpg
    30.3 KB · Views: 1,433
  • 1433591785523.jpg
    1433591785523.jpg
    20.7 KB · Views: 1,349
Nawezajee Kupata Nyimbo Yake Hii Mpyaa...

Msaada Wa Link Tafadhali
 
Kama photoshop vile maana pozi ni moja na mkao mmoja, kwamba mtu aliotea channel zote 2 sehemu exactly hyohyo ya nyimbo? Mhhh!!

Anyway, mkifikia kupata matamasha huko msisahau kujitambulisha kuwa mnatokea anakotokea Platinumz!! 😂
 
Hivi kwanini team kiba wengi wao,wanakuwaga na hasira na matusi sana kama mashabiki wa simba na manchester united?
 
Kama photoshop vile maana pozi ni moja na mkao mmoja, kwamba mtu aliotea channel zote 2 sehemu exactly hyohyo ya nyimbo? Mhhh!!

Anyway, mkifikia kupata matamasha huko msisahau kujitambulisha kuwa mnatokea anakotokea Platinumz!! 😂

Wewe nae acha kujitia aibu, nenda basi hata kwa millardayo ukajionee.
Maana hujui lolote halafu unataka kutuletea pumba zako hapa.
Photoshop ili iweje?
 
He heee mmeona mwezii....
Sisi tumeshazoeaaa...

Yan kuonyeshwa kwenye vichanel viwil tu mnaanza fujo
 
Back
Top Bottom