samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,968
Muongeleeni kiba kama kiba ila munapoharibu kumfananisha na DIAMOND hapo ndo munapoharibu wakati hata kiba mwenyewe alishawahi kukubari kuwa DIAMOND yupo juu zaidi yake "hongera yake DIAMOND kwa kuwa na mandeleo ambayo mimi yananishinda kwa sababu ya kukosa menejiment"-by KIBA sasa wewe unayejifanya shabiki yake usiyeweza kumsifia huyo kiba wako bila kumtaja DIAMOND kwa lipi wakati hata unayemshabikia anajua DIAMOND yuko juu