Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hua nasikia tu kua yule mama ni hodari wa viserengeti ila nilikua sina uhakika.
Nasikia kuna mmoja alimrekodi sex tape!..Naisubiri kwa hamu hiyo picha love.

Maji hufuata mkondo, Nassib ashakuwa na baba wengi tu ndio maana naye yuko vile.
Ova
 
Hua nasikia tu kua yule mama ni hodari wa viserengeti ila nilikua sina uhakika.
Nasikia kuna mmoja alimrekodi sex tape!..Naisubiri kwa hamu hiyo picha love.

Picha ya Uncle Salum na mama Nassib lazima niiweke hapa siku nikiingia humu kwa laptop.
Ova
 
Show off za kijinga huku babake anakufa hamna dhambi isiyo sameheka duniani. Hata maandiko yanasema muheshimu baba yako na mama yako ndo amri ya kwanza yenye ahadi ili kuishi mda mrefu. Sasa huyu domo kajisahau mno hata aibu haoni hawa shabiki maandazi hawamshauri wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

diva ujue hakuna kitu inauma kama kukataliwa/kutelekezwa na baba yako ila haina jinsi kusamehe ni muhimu but for sure hutoweza kusahau maishani mwako kwamba baba yako ali kukataa.....thanks God i was born and raised na wazazi wangu wote wawili.
 
Upuuzi mtupu umeandika hapo nothing new mbagala is ua kende zilizorojeka mxiiiiiiew nitolee ashuo lako. Tena iwe mwanzo na mwisho kuni quote seat ua a.s.s down. Id.I. wewe nikome kama unatoka Tandale ni mwenyewe huko madongo kuinama.

Achana nae dear, nashangaa anakuita wa mbagala.
Kwani umeshahama sinza?
 
Hahahaaaa kwani ulikuwa hujui? Si kale kajamaa wanakaita Uncle Salum.
Ngoja siku moja nitaweka picha yake akiwa na mama ake Nassib.
Jamaa kampita Nassib kama saba au nane hivi.
Ova

Mdakuzi wewe ni muelewa sana na hupaswi kushabikia huu ujinga wa kumuweka mama wa mtu akiwa kwenye privacy yake hata km anacho fanya haki kubaliki kwenye jamii.assume ndio angekua bi mkubwa wako unge jiskiaje? labda km sija elewa ulicho kua una maanisha!
 
Last edited by a moderator:
So what? Yupo super handsome anaye take care of me sina shida na chizi kama wewe.
Acha kujipendekeza wewe mwanaume utaolewa mjini hapa shauri zako.

Kumbe ni mvulana!!!
 
Halafu alivyo mjinga anamchukia baba yake bila kujua sababu ilikua nini hadi baba yake akafanya vile.
Kwa jinsi mama yake alivyo naona baba ana haki ya kumtosa mama yake.

Ujue kwa ninavyomjua mamake Nassib, basi huwa nacheka sana ninapoona fans wake wanaita watu makombo au sijui vicheche.
Warudi kwanza kifikra kwa mzaa staa wao.
Ova
 
Huyu naona hanijui, ngoja leo aucheze mziki wangu kidogo.
Ngoja nimpe japo dakika 20.
Na kweli kapanick mwenzangu, video kama moyo wangu ni idea zilikosekana hadi irudiwe ya Adam Juma?
Maana King wetu walisema katolea chooni, haya huyu aliyerudia je?
Ngololo zilezile, yaani in short there is nothing new.

Ninaemagine ingekuwa kiba ndio karudia hiyo idea, weeeeee yangeandikwa magazeti shigongo kasingiziwa
 
diva ujue hakuna kitu inauma kama kukataliwa/kutelekezwa na baba yako ila haina jinsi kusamehe ni muhimu but for sure hutoweza kusahau maishani mwako kwamba baba yako ali kukataa.....thanks God i was born and raised na wazazi wangu wote wawili.

Ni mbaya sana na inaumiza kiukweli ndo wanaume wengi wakiwa na michepuko hutekwa akili bora kumsamehe Mara saba sabini aisee. Yani nionavyo amsamehe na asahau Mungu atazidi kumuongezea Mara dufu wazazi ni Mungu wa pili duniani na wana baraka zao. Ndo maana hadi vitabu vitakatifu vimeandika msamehe na kuwaheshimu ili kuishi maisha marefu.
Amsamehe tu huyu mzee bure aisee.
 
Back
Top Bottom