Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,319
U r one PUNK ASS that i chose to ignore. Kinhead
Acha kujitia aibu mjinga wewe ongea kiswahili tu.
Hapo kwenye red ni utumbo gani?
U r one PUNK ASS that i chose to ignore. Kinhead
Wow nilikua sijui huu uzi unamwongelea Diamond platnumz kwa sana zaidi ya waimbaji wengine wote TZ na duniani.
Nice one
wakiongozwa na kiba
Sasa povu lote hlo 4 what, king wenu anawastress mwaja tukana hapa.
Diva Beyonce ukirudi hapa pitia kwanza PM yangu dear.
Acha kujitia aibu mjinga wewe ongea kiswahili tu.
Hapo kwenye red ni utumbo gani?
Wasanii wanaotuwakilisha vizuri africa sahv ni Diamond kama kawaida yake Vanessa Shetta na Joh Makini waliobaki wengine bdo wanaangalia soko la East Africa
So what do you want may be I can offer you any help. diamond a.k.a big mouth like crocodile. You will jiju yourself mxiiiiiiieeeew.
Hahahahahaaa uwiiiiii! Yaani nacheka hapa kama chizi nakuambia.Nilishtuka nikadhani kitu cha maana kumbe hakuna kitu.
Quality ya video tu ndio imembeba.
Nenda jukwaani kule utaona umewekwa.
Kiba aka bichwa" nothing u cn offer me bby girl may ur sweet ...
Wow nilikua sijui huu uzi unamwongelea Diamond platnumz kwa sana zaidi ya waimbaji wengine wote TZ na duniani.
Nice one
Wewe data unasemaje? Mimi nikukimbie wewe kwa lipi sasa taahira wewe?
Hahahahaha haya niko hapa sema unatakaje? Aisee ni bora angekua mtu mwingine alokua smart kidogo ila wewe nakudharau sana.
Tutakesha hapa...
Mi ndo hata siuhangalii kabisa ingawa sijauona. Madai yake hiyo video ya kulambisha watu ndimu. Pyeeee pole yake ndo tatizo la kufanya mziki ka mashindano badala ya Ku relax.
Uwiiiii nimeiona YouTube yote daah.... kweli kinachombeba ni collabo ptuuuuu
Eti huyu chizi anasema nimemkimbia jamani? Mimi nifah wa kumkimbia mtu JF hii? Bado sana aisee.