Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,319
Wattttttttt
Hahahahahaa kajionee mwenzangu! Ni shiidah.
Kwa wimbo huu asahau hata kupata nominations nawaambieni.
Wattttttttt
Ndio kilugha gani hicho? Kingoni au maana nina hamu nacho kama ndio hicho unifundishe.
Hakuna kitu nakuambia.Wimbo mzima onana onana...
Hahahahahaa kama mambo yenyewe ndio haya aisee kazi ipo.
yule dem Video Queen mkalii kinouma
mkuu ni kikurya
Wattttttttt
Upo wapi mamy?
upo wapi mamy?
Kwendraaaa mchawi ndio wewe ndio maana umejua kama tumelogwa.
Tuache tujadili tunavyotaka, hakuna aliyekuita hapa.
Eeish, wala sina haja nacho.Mimi nataka nijifunze kingoni bwana.
Sasa akituzungusha mashabiki zake wewe unaumia nini? Eti Joh makini wewe nenda kawasikilize hao international sisi wa local anatutosha.
wewe inabidi nikutafute nikukule ili uwe na adabu. Na i promise that.
wasanii wanaotuwakilisha vizuri africa sahv ni diamond kama kawaida yake vanessa shetta na joh makini waliobaki wengine bdo wanaangalia soko la east africa
wewe kuku wa kienyeji uwe na adabu kwa dadangu nifah sawa,hizo bangi zako kavutie chooni nyambafu zako idioty
wewe kuku wa kienyeji uwe na adabu kwa dadangu nifah sawa,hizo bangi zako kavutie chooni nyambafu zako idioty
Hahahahahaa imebidi nicheke sana aisee.Hivi unadhani mimi napatikana kirahisi eeh?
Pole zako sana maana hilo haliwezekani over my dead body.
Mwenye hadhi hiyo ni my love Mdakuzi tu.
Mjinga mjinga kama wewe utaishia kunisoma JF tu.Huna hata hadhi ya kunishika mkono taahira wewe.
Wewe sio type yangu......period.
wewe inabidi nikutafute nikukule ili uwe na adabu. Na I promise that.
shit...., mwanamke unakua na chuki za kijuha...