Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani mmeona ile video iliyokua inapigiwa promo?
Hahahahahaa too low kwakweli, kwanza idea ya video haina tofauti na ya moyo wangu.Labda kidogo sana hasa darasani ila barabarani ni yaleyale.
Pili wimbo hakuna kitu, ni onana onana...lol
Afadhali Mr. Flavour nimemuelewa kidogo ila domo hapana kwakweli!
Hebu na nyie muitazame halafu mniambie.
Ila quality ya video iko vizuri.
 
Hizo sababu mbili hapo juu hana hata moja, Video ya CHEKECHA mpaka leo hii ni mienzi 3 hajatoa anawazungusha mashabiki wake. ALIKIBA haangalii soko la music linataka nini yeye bado yupo ki-local sana wakati wadogo zake akina SHETTA, VanessaMdee, Dimond, Johmakini wana-make HEADLINES kwenye vituo vikubwa vya Music Africa. Na kuhusu uandishi wa nyimbo nzuri bado sana kumfikia Dimond ila labda useme anajua kuimba(tune).
b

Sasa akituzungusha mashabiki zake wewe unaumia nini? Eti Joh makini wewe nenda kawasikilize hao international sisi wa local anatutosha.
 
Jamani mmeona ile video iliyokua inapigiwa promo?
Hahahahahaa too low kwakweli, kwanza idea ya video haina tofauti na ya moyo wangu.Labda kidogo sana hasa darasani ila barabarani ni yaleyale.
Pili wimbo hakuna kitu, ni onana onana...lol
Afadhali Mr. Flavour nimemuelewa kidogo ila domo hapana kwakweli!
Hebu na nyie muitazame halafu mniambie.
Ila quality ya video iko vizuri.

Kah sijauona hyo video ka INA idea ya moyo wangu basi haina jipya lolote na huo wimbo aisee.
 
Wewe ndo unajiona una uwezo mkubwa wa kufikiri uka comment hivi mbona wewe ndo mbovu zaidi yake.

Hebu nenda kaangalie kile kituko cha wimbo bwana tucheke.
Tulikua tunasumbuliwa huku Mr.Flavour sijui nini hakuna kitu!
 
Kah sijauona hyo video ka INA idea ya moyo wangu basi haina jipya lolote na huo wimbo aisee.

Hakuna kitu nakuambia.Wimbo mzima onana onana...
Hahahahahaa kama mambo yenyewe ndio haya aisee kazi ipo.
 
Hebu nenda kaangalie kile kituko cha wimbo bwana tucheke.
Tulikua tunasumbuliwa huku Mr.Flavour sijui nini hakuna kitu!

Hahaaa yani hadi hamu ya kuona sina imeshachuja tayari mambo yenyewe ni repition no creative of new video. Ngoja niitafte mweerh mana walikua na kelele nayo ka chura dibwini au kwenye mabwawa.
 
Hebu jiheshimu na wewe unahangaika nini na wasio jitambua? Are u out of ua senses? Leave us eeh and mind ua own fu..king business.

Sasa povu lote hlo 4 what, king wenu anawastress mwaja tukana hapa.
 
Hahaaa yani hadi hamu ya kuona sina imeshachuja tayari mambo yenyewe ni repition no creative of new video. Ngoja niitafte mweerh mana walikua na kelele nayo ka chura dibwini au kwenye mabwawa.

Hahahahahaaa uwiiiiii! Yaani nacheka hapa kama chizi nakuambia.Nilishtuka nikadhani kitu cha maana kumbe hakuna kitu.
Quality ya video tu ndio imembeba.
 
Jamani mmeona ile video iliyokua inapigiwa promo?
Hahahahahaa too low kwakweli, kwanza idea ya video haina tofauti na ya moyo wangu.Labda kidogo sana hasa darasani ila barabarani ni yaleyale.
Pili wimbo hakuna kitu, ni onana onana...lol
Afadhali Mr. Flavour nimemuelewa kidogo ila domo hapana kwakweli!
Hebu na nyie muitazame halafu mniambie.
Ila quality ya video iko vizuri.

Wattttttttt
 
Back
Top Bottom