Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Last edited by a moderator:
Ivi wew ni kingereza gani unachoongea cha cheke chea si useme ndo unajifunza ueleweke.
English coz inakupa kiwew ee.
Apa sio sehemu sahihi ya kufanyia mazoezi.
Pita ivi

Are u able? Can u argue,, are u rational being?

Are u judgemental? Can you assess the value that worthy in two contradicting sides?
 
Hili family la fans wa King Kiba utalipenda tu linavyopelekesha watu humu JF.
Habari zenu wapendwa? Naona mnavyojitahidi kuwapa elimu vilaza, poleni na hongereni sana.
Ova

Nzuri mkuu..
Asante. Duu wanafunz vilazaa ilanashukuru washaelewa
 
Yaaan na kiswanglish chak cha google translate hana chochote.
Wanapaniki utazani iyo video sisi ndo tumefanya iwe mbaya

Hahaaa hawa ni wa kupuuzwa tu wauza njiwa umeona mashabiki wa domo wanaojielewa wakija huku. Wauza njiwa ndo wanaongoza kuja huku. Kiongozi wao mkuu sija mwona sijui kakosa bundle.
 
Hawa wasengerema .wamekuja kutafuta papuchi huku... nyoko zenu.
Kwani kule kwenu hamna madem?
 
Mbona umejiquote mwenyewe? Au ulisahau kusign out uingie kwa fake ID?
Kama ninyi ni watoaji wazuri wa ushauri kwanini hamumshauri Nassib ampe huduma baba yake?
Mzee hana hata nauli ya kwenda hospital, miguu imemvimba hadi anatembea kwa kusota.
Ova

Swali zuri hilo tatizo la mashabiki wake wengi kichwani ni empty set. Ndo maana wanakuja na id's tofauti hafu wanaji quote.
 
Are u able? Can u argue,, are u rational being?

Are u judgemental? Can you assess the value that worthy in two contradicting sides?

Katapikie uko. Are you..can u..nyoooo endelea kujifunza
 
Mbona umejiquote mwenyewe? Au ulisahau kusign out uingie kwa fake ID?
Kama ninyi ni watoaji wazuri wa ushauri kwanini hamumshauri Nassib ampe huduma baba yake?
Mzee hana hata nauli ya kwenda hospital, miguu imemvimba hadi anatembea kwa kusota.
Ova

Nimemjua diamond kupitia mziki, na najua kuhusu mziki wake tu, maisha yake binafsi hata cjuagi..
...sasa mtu humpende halafu unafatilia mpk maisha yake, are you serious!
...watanzania tupendane bhana, tuache unafiki.
 
Wow, I miss you sweetheart.
Nafurahi kukuona hapa,
Love you baby.

Hunishindi love. Nimefurahi kukuta hapa, ujue hadi naingia nilikuwa nasema sijui nitamkuta.
Naona unawapa shule hawa vilaza. Umetisha sana baby.
Ova
 
Back
Top Bottom