data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,943
- 23,883
Mwenye povu ni wewe. Ua commenting nonsense.
I comment nonsense...,!! Me..!!??
Mwenye povu ni wewe. Ua commenting nonsense.
Mi ndo hata siuhangalii kabisa ingawa sijauona. Madai yake hiyo video ya kulambisha watu ndimu. Pyeeee pole yake ndo tatizo la kufanya mziki ka mashindano badala ya Ku relax.
Chose ni past simple tense ya choose.
I care about u. Si waona nakupiga lecture.
Aseee hapa ka boogie sana.Hua nawashangaa wanasema tunamstress Kiba hadi anapanick domo ndio katoa kituko gani hicho?
Heri yako wewe hujakiona tu maana nimecheka balaa.
Hahaaa eti bichwa nyooo utasubiri sana of course I have nothing to offer you coz ua ugly like demon.
Uwiiiii nimeiona YouTube yote daah.... kweli kinachombeba ni collabo ptuuuuu
I comment nonsense...,!! Me..!!??
Huu sio uzi hii ni familia yetu. Kila siku kila saa lazma tuwe apa.
ONYO:
Humu hatutaki magezeti wala waraka apa ukitaka kuweka kitu andika mistari miwili huwezi sepaaaaaa
'Nitampata wapi' alifanya collabo na nani vilee...!
...naomba nikumbushe mkuu!
Mmh!...kwan dai anafanya mzik kushindana na nani labda ?
...au ndo unamtafutia mtu wa kumshindanisha apitie mgongo wake!!
So what? Yupo super handsome anaye take care of me sina shida na chizi kama wewe.
Acha kujipendekeza wewe mwanaume utaolewa mjini hapa shauri zako.
Yani umkimbie huyu mbulula au choko asiye na mbele wala nyuma. Ame paniki huyu baada ya walichotegemea kutoka vibaya.
We unafikiri ana compete na nani? Hafu njoo na I'd yako ya siku zote nendeni kwenye Uzi wake. Hahaaaaa yani ndo kutokujiamini hadi kuja na I'd mpya. What a shame mxiiiiiewwww.
Kaulize timu yake mimi najulia wapi? Kwanza sijui ata uo wimbo.
We unafikiri ana compete na nani? Hafu njoo na I'd yako ya siku zote nendeni kwenye Uzi wake. Hahaaaaa yani ndo kutokujiamini hadi kuja na I'd mpya. What a shame mxiiiiiewwww.
Hahaha sawa #1 fan wa King kibaka" diva beyonce mtoto utakua mkali wewe kama jina lako
We unafikiri ana compete na nani? Hafu njoo na I'd yako ya siku zote nendeni kwenye Uzi wake. Hahaaaaa yani ndo kutokujiamini hadi kuja na I'd mpya. What a shame mxiiiiiewwww.