Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Achana nae dear, nashangaa anakuita wa mbagala.
Kwani umeshahama sinza?

Shaachana naye huyu anataka kuni provoke. Huwa nawashangaa sana watu wasio heshimu mawazo ya wengine wao Ku judge ubaya tu.
Mbwa ukimjua jina bwana hakusumbui.
 
Hua nasikia tu kua yule mama ni hodari wa viserengeti ila nilikua sina uhakika.
Nasikia kuna mmoja alimrekodi sex tape!..Naisubiri kwa hamu hiyo picha love.

Kumbe like mother like son!! Maji hufuata mkondo
 
Ujue kwa ninavyomjua mamake Nassib, basi huwa nacheka sana ninapoona fans wake wanaita watu makombo au sijui vicheche.
Warudi kwanza kifikra kwa mzaa staa wao.
Ova

Ndo mana na mwanawe kamu rithi hyo tabia ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka. Mwanawe anabeba hadi makombo yaliyo chacha na kushindikana.
 
Tofauti kubwa iliyopo kati ya team kiba na di, ni kwamba sie wa team di tuna kubali juhudi za mtu.
Nyie shida yenu ni haters tu.

OMG., I jus quoted ur arse. Consider urself lucky

Sisi tunazungumzia kuhusu uwezo wa kimuziki, hiyo ndio tofauti yetu.
Sasa unasifu juhudi za mtu anayeshindwa kumpa huduma baba yake?
Siwezi kusifu upuuzi huo, hadi Mungu atakapofuta amri ya kuheshimu na kujali wazazi.
Ova
 
Mdakuzi wewe ni muelewa sana na hupaswi kushabikia huu ujinga wa kumuweka mama wa mtu akiwa kwenye privacy yake hata km anacho fanya haki kubaliki kwenye jamii.assume ndio angekua bi mkubwa wako unge jiskiaje? labda km sija elewa ulicho kua una maanisha!

Haya kwa heshima yako naweza kuamua kutoweka hizo Picha. Najua mimi na wewe tunaheshimiana.
Ova
 
Last edited by a moderator:
nifah is this Mdakuzi for real au am dreaming?? Mdakuzi shem darling i missed you big( nifah fumba macho kwanza) am happy to see you
 
Last edited by a moderator:
Weeee! Tungeshuhudia magazeti huku hadi tukome maana wale watu kwa magazeti tu maashallah!

Na hivyo wao ni alfa na omega in da world n they know it all, uwiiii kiba angeitwa majina yooote, ila sie twaitwa haters ila wao cjui niwaiteje sasa!
 
Wanaomba picha ya mama domo na serengeti wake isiwekwe eti...
Nikiipata mimi tena? Dakika 5 nyingi utaikuta PM.

Hahahahaaaa unajua wameamua kuniletea mtu ambaye naheshimiana naye. Kweli hata angeniomba nisiweke, ningeiweka.
Lakini kwa ChingaOne wameniweza. Acha nitakupm tu ili umjue Uncle Salum.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa nipo humu Shem, nikashangaa sikuoni. Nafurahi mnavyowatesa vilaza humu ndani.
Ova

Yaani mie nikosekane hapa ili niwe wapi labda? Home sweet home with the super royal family, mji mkarimu kwa wageni ndio maana hawakosekani humu.
 
Back
Top Bottom