Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Diamond msanii mkali na pia ally kiba msanii mkali. ..kuona watu wanashindana kuhusu hili juzi kati nilikuwa natoka mwanza kuja dar nikaamua nicheze ngoma ambazo aidha wameimba wao au wameshirikishwa bila kurudia wimbo. .nilianza na za ally kiba,huwezi amini natoka mwanza mpaka nafika chalinze sijarudia wimbo hata mmoja wa ally kiba na zote kali. .nikaona naweza fika Dar bila kusikiliza ngoma za diamond ikabidi nae nimpe nafasi. ..kuanzia chalinze nikamweka nassib kufika ubungo mataa tu nikawa nimemaliza kumsikiliza sioni wimbo wake mwingine wa kusikiliza
 
Hunishindi love. Nimefurahi kukuta hapa, ujue hadi naingia nilikuwa nasema sijui nitamkuta.
Naona unawapa shule hawa vilaza. Umetisha sana baby.
Ova

Kilaza nani we PIMBI.
 
Swali zuri hilo tatizo la mashabiki wake wengi kichwani ni empty set. Ndo maana wanakuja na id's tofauti hafu wanaji quote.

Mimi ningekuwa shabiki wa Nassib ningeona noma sana kwa jinsi anamtesa baba yake.
Yaani yeye anamjali yule serengeti boy wa mama yake na kumdharau baba yake.
Ova
 
Najaribu kufikiri kuhusu hii promo anayopewa kiba, angepewa mtu kama Mavoko au belle 9 hivi angekuwa mbali sana, ila ndo basi tena, licha ya kubebwa na airtel mpk marekan kwa R-kelly akashindwa kutumia ile fursa, what a shame!
...pale ndo palikuwa pa kutokea ila cjui alikuwa anawaza nin au washauri wake ndo hawanaga mawazo!!!
...anyway Mungu amsaidie apate fursa nyingine aitumie vzur na tz tuwe na wasanii weng wanaotambulika nje km wenzetu wanaijeria...
 
Em jiheshimu basi, lugha kali sana hyo.

Lugha kali unaijua wew unaisikia...
Nyooo nijiheshim kwani nani kakuambia sijiheshimu.
Jiheshimu wew kubwa jinga na broken English yako upooo?
Alafu uzuri ni kwamba humu hujaitwa kimbelembele chaako
 
Mimi ningekuwa shabiki wa Nassib ningeona noma sana kwa jinsi anamtesa baba yake.
Yaani yeye anamjali yule serengeti boy wa mama yake na kumdharau baba yake.
Ova

Show off za kijinga huku babake anakufa hamna dhambi isiyo sameheka duniani. Hata maandiko yanasema muheshimu baba yako na mama yako ndo amri ya kwanza yenye ahadi ili kuishi mda mrefu. Sasa huyu domo kajisahau mno hata aibu haoni hawa shabiki maandazi hawamshauri wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Mimi ningekuwa shabiki wa Nassib ningeona noma sana kwa jinsi anamtesa baba yake.
Yaani yeye anamjali yule serengeti boy wa mama yake na kumdharau baba yake.
Ova

Mkuu huwaga unafatilia maisha binafsi ya dai au mziki wake ??
 
Hahahaaa!
...nmekupenda ghafla, ntakuPM badae kdgo.

Um pm nani kenge maji wew? Umekuja kutafuta kiki huku? Kwa taarifa yako kila mtu humu ana wake. sumbai njoo mchukue huyu ndugu yako anatujazia inzi apa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa kuna kilaza mmoja kachachamaa. Hata vichaa huwa hivi hivi ndio maana inabidi tuwafunge kwa kamba.
Ova
 
Shoga muuza njiwa katuvamia na I'd mpya hujamuona tu. Maana comment zinafanana ila I'd tofauti.

Hahahaaaaaaaaaaaa jamani mbavu zanguuuuu....ni yeye naona jana tulimahushua kua anauza njiwa kaamua kuchange tehe tehee
 
Najaribu kufikiri kuhusu hii promo anayopewa kiba, angepewa mtu kama Mavoko au belle 9 hivi angekuwa mbali sana, ila ndo basi tena, licha ya kubebwa na airtel mpk marekan kwa R-kelly akashindwa kutumia ile fursa, what a shame!
...pale ndo palikuwa pa kutokea ila cjui alikuwa anawaza nin au washauri wake ndo hawanaga mawazo!!!
...anyway Mungu amsaidie apate fursa nyingine aitumie vzur na tz tuwe na wasanii weng wanaotambulika nje km wenzetu wanaijeria...

Hili gazeti unamwandikia nani?
Kachambie maji ya chumvi nyau wew
 
Hahaaa ua so wrong dude eeh and am even not ua type.I don't give a fuc.k.

Hahah umepanic Diva Beyonce may be am right bt if u hv a problem with me, could you please write it
nicely on a piece of paper, fold it up, and shove it up your a$$ mtt mzr beyonce wa mbaga.. hahaha
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa kuna kilaza mmoja kachachamaa. Hata vichaa huwa hivi hivi ndio maana inabidi tuwafunge kwa kamba.
Ova

We ngoja utaona muda si mrefu wataondoka wakiwa wamesinyaa kama wamecheshewa na mvua .
Tumewachekea washaanza mazoea
 
Hahahahahaaa baby nakumiss kwa vingi ujue?
Nazidi kukupenda Wallah!

Hahahaaaa kwani ulikuwa hujui? Si kale kajamaa wanakaita Uncle Salum.
Ngoja siku moja nitaweka picha yake akiwa na mama ake Nassib.
Jamaa kampita Nassib kama saba au nane hivi.
Ova
 
Hahah umepanic Diva Beyonce may be am right bt if u hv a problem with me, could you please write it
nicely on a piece of paper, fold it up, and shove it up your a$$ mtt mzr beyonce wa mbaga.. hahaha

Upuuzi mtupu umeandika hapo nothing new mbagala is ua kende zilizorojeka mxiiiiiiew nitolee ashuo lako. Tena iwe mwanzo na mwisho kuni quote seat ua a.s.s down. Id.I. wewe nikome kama unatoka Tandale ni mwenyewe huko madongo kuinama.
 
Last edited by a moderator:
Lugha kali unaijua wew unaisikia...
Nyooo nijiheshim kwani nani kakuambia sijiheshimu.
Jiheshimu wew kubwa jinga na broken English yako upooo?
Alafu uzuri ni kwamba humu hujaitwa kimbelembele chaako

Can u in anyway show me the point I broke.?
 
Back
Top Bottom