Nalipongeza Jeshi la Tanzania kwa kushirikiana na interpol kwa kumuweka Huyu mfanyibiashara maarufu mikononi, ila angalizo - money can buy anything!
Ingependeza Kama wangepewa interview live ili ijulikane Nani hasa aliyefanya Yale mauaji ya Yule Kijana Na kutoa utata Wa Papa Msofe kuendekea kuwekwa ndani
Hivi anavyosafiria na passport/hati za kusafiria za bandia, alisahau kuwa huwa wanacheki na alama za vidole au?
Wamwache mjomba wangu
Hazidishiwi mwenye kudhulumu ila hasara.
Hazidishiwi mwenye kudhulumu ila hasara.
sawa kabisa yatawakuta mengi mafia hawa. mabomu,wizi,ujambazi na kila balaa wanalo
MASAWE, ALEX SIRIAMAKA
Wanted by the judicial authorities of Tanzania for prosecution / to serve a sentence
[h=3]Identity particulars[/h]
[TABLE="class: table_detail_profil table_detail_profil_result_datasheet"]
[TR]
[TD="class: col1"]Present family name :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]MASAWE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Forename :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]ALEX SIRIAMAKA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Sex :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]Male[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Date of birth :[/TD]
[TD="class: col2 strong"]30/06/1956 (57 years old)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Place of birth :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] MOSHI, Tanzania [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Language spoken :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] English, Swahili [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: col1"]Nationality :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] Tanzania [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: table_detail_profil table_detail_profil_result_datasheet"]
[/TABLE]
[h=3]Charges Published as provided by requesting entity[/h]
[TABLE="class: table_detail_profil table_detail_profil_result_datasheet"]
[TR]
[TD="class: col1"]Charges :[/TD]
[TD="class: col2 strong"] MURDER
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[h=3]Photos[/h]
[h=3]If you have any information please contact[/h]
Your national or local police
General Secretariat of INTERPOL
Hivi anavyosafiria na passport/hati za kusafiria za bandia, alisahau kuwa huwa wanacheki na alama za vidole au?
Facilitator unataka more source!
Kuhusu passport fake aliyokamatwa nayo Dubai?
Akitaka ahonge $•••,•••,•••lakini jamaa wakamtolea nje
I was in Dubai when this happened, Na Kwa vile ninamfahamu Alex Massawe since 1995, Na dhuluma zake zikiwepo kununua MAGARI ya wizi etc I have full dossier
Hint! Mnamkumbuka John Supper? Aliyekuwa hapa Dar miaka ya nyuma Kama jambazi?
Subirini kitabu changu title:
Mtandao Na umaarufu Wa Mapedejee Wa Tanzania
Author •••••••••
Publisher•••••••
Year 2013
Mkuu Kingmairo, umenifumbua akili nashukuru sana nimehisi naangalia movie wakati nasoma ujumbe wako, kumbe ndiyo maana Yesu alisema "Ni rahisi ngamia kupita tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa Mungu" hawa matajiri wamefanya maasi mengi sana kufikia hapo walipo. Kila siku uhalifu unafanyika kujiongezea vipato visivyo halali. Mungu atuepushe jamani.
Kwanza nianze kuhakikisha hii habari kuwa ni kweli hata East Africa Radio wameirusha mda si mrefu. Alex Massawe anakabiliwa na tuhuma za mauwaji ya mfanyabiashara ambayo pia Papaa Msofe anahusika. Habari zilizopo ni kuwa mfanyabiashara aliyeuliwa alikopa fedha (inasemekana ni kama mil 200, ila sina uhakika na hii amount) kutoka kwa ALex massawe na akaweka bond nyumba yake iliyopo maeneo ya magomeni. Akamkabidhi Alex masawe hati ya nyumba ikiwa ni sehemu ya mkataba wa mkopo huo. Mfanyabiashara alipotaka kurizudisha zile fedha Alex massawe akawa anapiga chenga hataki kuzipokea kwa madhumuni ya kuupitisha muda riba iwe kubwa jamaa ashindwe kulipa halafu ajihalalishie kuichukua nyumba. Marehemu akawa mjanja akaenda kuiwakilisha zile fedha kwa mwanasheria aliyewafungia mkataba wa mkopo. Baada ya Alex massawe kuona anazidiwa ujanja ndo akaanza kutumia mabavu na kumuuzia ile nyumba Papaa msofe ilihali akijua hana umiliki halali. Baada ya mfanyabiashara kuuawawa, papaa msofe ndo akawa anaighasi familia ya marehemu kuwa hiyo nyumba kashauziwa hivyo watoke na atakuja kuwatoa kwa nguvu. Mke wa marehemu akaenda moja kwa moja kwa Said Mwema na kuilezea habari nzima nzima tangu makubaliano ya mkopo na kuuliwa kwa mumewe na vitisho anavyopata toka kwa wauwaji wa mumewe. Kifupi hili ndo saga lenyewe na kesi ya Papa msofe ilikuwa haiwezi kwenda popote hadi alex massawe atapopatikana kwa sababu ni mtuhumiwa mkuu pia kwenye kesi hii.