Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

allah he's the one create you and all world and he will pravent your dearth , your mother, your farther and your all pipo so you should fear HIM the king of all king and worship HIM only for your on good
 
Tatizo wa2 wengine uelewa ni mdogo nyota zimeanza kutumiwa tokea enzi za mitume ukiangalia katika dini zote mbili nyota wametumia kwa upande wa wakristo nyota ilitumiwa wakati wa yesu anazaliwa na hiyo ndio ilikuwa ishara ya zamani ya kuzaliwa kwa mitume huwaga nyota hutokea na hata hivyo pia nyota zilitumiwa na wavuvi na wasafiri katika safari na kwa upande wa waislamu nyota ilionekana pind mitume inazaliwa na pia nyota ni ishara ya watu kuanza kufunga.....samahani naomba kuuliza swali kwa member wa jamii...wakati wakristo wanaanza kufunga mnajua ni nyota gani huwa inaonekana wakati huo
 
Alama ya mwezi na nyota ni Urithi wa Uislamu kutoka kwenye dini za kipagani za Uarabuni, kama ambavyo baadhi wameelezea... Yapo mengi mno, ngoja nisome kwanza comments za wengine halafu nitarudi kujazia pale walipoacha...
mayahudi walisema mengi sana kuhusu nabii ibrahim na uislam sasa wewe hautakua kituko kwa kusema hayo tena usio kua na ushahidi nayo na unaongea tu kwa matamanio ya nafsi yako ,pia qur'an tukufu imetubainishia watu kama nyie kua matasema mengi sana ya kizushi kuhusu uislam
 
Tatizo wa2 wengine uelewa ni mdogo nyota zimeanza kutumiwa tokea enzi za mitume ukiangalia katika dini zote mbili nyota wametumia kwa upande wa wakristo nyota ilitumiwa wakati wa yesu anazaliwa na hiyo ndio ilikuwa ishara ya zamani ya kuzaliwa kwa mitume huwaga nyota hutokea na hata hivyo pia nyota zilitumiwa na wavuvi na wasafiri katika safari na kwa upande wa waislamu nyota ilionekana pind mitume inazaliwa na pia nyota ni ishara ya watu kuanza kufunga.....samahani naomba kuuliza swali kwa member wa jamii...wakati wakristo wanaanza kufunga mnajua ni nyota gani huwa inaonekana wakati huo
yesu hakua dini nyingine zaidi ya uislam
 
wewe kama umechagua njia ya kushoto baki nayo hiyu njia na acha kusema vitu ambavyo huna ushahidi navyo
 
Think twice. Ni alama ya kishetani. Hata Katoliki wanazo sana. Dini ya kweli ni ile isiyokuwa na alama, maana Mungu wa Moses hakuwahi kuhimiza wachonge sanamu wala kitu chochote chenye mfano wa Mungu. Hizo alama zinamuwakilisha shetani na siyo Mungu.
Kwa kuwa zimetengenezwa na shetani ama? Unapofafanua jambo yapaswa uweke na akiba ya ziada na kujiuliza..
 
unajua dunia ina watu wabaya ambao wanapoteza watu kwa kutumia mambo mengi sana sasa inabidi watu wasome dini na wamjue allah kua inaitaji nini kutoka kwao na si kukurupuka kuongea tu bila elim ya kujua allah
 
mayahudi walisema mengi sana kuhusu nabii ibrahim na uislam sasa wewe hautakua kituko kwa kusema hayo tena usio kua na ushahidi nayo na unaongea tu kwa matamanio ya nafsi yako ,pia qur'an tukufu imetubainishia watu kama nyie kua matasema mengi sana ya kizushi kuhusu uislam
Hebu jiulize,
1. Wakati Muhammad anatokewa na lile jitu kule mapangoni alikuwa anafanya nini?
2. Kwanini lilimtisha na kumlazimisha asome lilichokuwa limekiandaa?
3. Kwanini halikutaka kujitambulisha kwa Muhammad?
4. Ilikuwaje baada ya tukio lile alipelekwa na yule mama kikongwe (Bi Hadija) kwa mganga?
5. Na iweje mganga ndio alitambue lile jitu lililomtisha Muhammad kuwa Jibril wakati lenyewe halikujitambulisha?
6. Kwanini liliendelea kumtokea na kumtisha mara kwa mara kwa takriban miaka miwili?

Nitarejea...
 
uislam ulikuepo kabla ya adma hajaumbwa
Muhammad aliambiwa na allah asema:
Quran 39:12 Suratul Zumar
"Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"

Quran 6:14 Suratul Al- An'am
Sema "je nifanye mola (wangu) asiyekuwa Mwenyezi Mungu, (ambaye ndiye) muumba wa mbingu na ardhi" naye hulisha wala halishwi" sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu na (nikaambiwa). usiwe miongoni mwa wanaomshirikisha (Mwenyezi Mungu).

Soma kitabu chako na usikubali kukaririshwa, halafu unadai Uislamu ulikuwepo kabla ya Muhammad...
 
j

itu gani halina jina ?
 
j

itu gani halina jina ?
pia haja pelekwa kaw mganga hayo ni maneno yenu tu ya kizushi na mtashindwa na hakutaji mganga kujua yule nani sababu yule alikua malaika jibree
 
Muhammad aliambiwa na allah asema:
Quran 39:12 Suratul Zumar
"Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"

Quran 6:14 Suratul Al- An'am
Sema "je nifanye mola (wangu) asiyekuwa Mwenyezi Mungu, (ambaye ndiye) muumba wa mbingu na ardhi" naye hulisha wala halishwi" sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu na (nikaambiwa). usiwe miongoni mwa wanaomshirikisha (Mwenyezi Mungu).

Soma kitabu chako na usikubali kukaririshwa, halafu unadai Uislamu ulikuwepo kabla ya Muhammad...
unajua kama katika qur'an ibrahim alitajwa kua yeye muislam wa kwanza ? sasa muhammad alikuepo hapo na nani kwanza kati ya ibrahim na muhammad sw
 
Back
Top Bottom