m83
Senior Member
- Jun 9, 2017
- 100
- 3
ALLAH kuongoze , amiinMkui acha kunichuria aisee. Allah aniongoze wapi? Au kule atakako weka mguu wake aiulize "Jehanum je umejaaa?"
ALLAH kuongoze , amiinMkui acha kunichuria aisee. Allah aniongoze wapi? Au kule atakako weka mguu wake aiulize "Jehanum je umejaaa?"
5. SURAT AL- MAIDAHalafu hii tabia ya kuitana manaswara
surat ah-zaab aya 57. hakikan wanao muudhi mwenyezi mungu na mtume wake, mwenyezi mungu amewalaani duniani na Akhera, na amewaandalia adhabu ya kufedheesha.
5. SURAT AL- MAIDA
14. Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu ys waliyo kumbushwa. kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya kiyama. Na hapo Mwenyezi mungu atawaambia waliyo kuwa wakiyafanya.
QUR'AN 18. Na Mayahudi na Wakiristo wanasema: Sisi wana wa Mwenyezi mungu na vipenzi vyake. Sema: Basi kwa nini anakuadhibunu kwa ajili ya dhambi zenu? bali nyinyi ni watu tu kama wale wengine alio waumba. Humsamehe amtakaye na humuadhibu amtakaye. Na ni wa Mwenyezi mungu tu ufalme wa mbingu na ardhi. Na marejeo ni kwake Yeye.5. SURAT AL- MAIDA
14. Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu ys waliyo kumbushwa. kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya kiyama. Na hapo Mwenyezi mungu atawaambia waliyo kuwa wakiyafanya.
sababu ya utukufu wake , utadhani yuko na shirikalakini niyeye tu peke yake .mbona katika aya zenu hizo anatumia nafsi ya wingi.... kwahiyo tutaweka ..... ina maana miungu wa kiislam sio allah peke yake wapo na wengine
sababu ya utukufu wake , utadhani yuko na shirikalakini niyeye tu peke yake .
QUR'AN 53 SURAT ANNAJM IMETEREMKA MAKKA.uongo uliotukuka adhabu na laana za mungu mwezi wa kiarabu baba yao na miungu al alat, uza na manat ambao hata mtume wenu alipokua kafiri alikua akifanya makafara na matambiko kabla hjaanzisha dini yake hiyo mpya.
ndio hivyo hata ukipnga sababu wewe si mpingaji wakwanzautukufu wake ndio nini? acha kujidanganya ndugu...hao waliokukaririsha quran na hizo aya hawakukwambia kua ukitumia qurana unaweza mroga hata kumuua mtu...hawakukwambia kua kuna dua za ahalal badr ambazo ni uchawi na ushirikinauliotukuka.
QUR'AN 53 SURAT ANNAJM IMETEREMKA MAKKA.
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
1. Naapa kwa nyota inapo tua,
2. Mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea.
3. Wala hatamki kwa matamanio.
4. Hayakuwa haya ila ni ufunuo ulio funuliwa;
5. Amemfundisha aliye mwingi wa nguvu,
6. Mwenye kutua, akatulia,
Naye yuko juu kabisa upeo wa macho.
8. Kisha akakaribia na akateremka.
9. Akawa ni kama baina ya mipinde mwili, au karibu zaidi.
10. Akamfunulia mja wake (Mwenyezi Mungu) alicho mfunulia.
11. Moyo haukusema uwongo uliyo yaona.
12. Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona?
13. Na akamwona mara nyingine,
14. Penye Mkunazi wa mwisho.
15. Karibu yake ndio ipo Bustani inayo kaliwa.
16. Kilipo ufunika huo mkunazi hicho kilicho ufunuika.
17. Jicho halikuhangaika halikuruka mpaka.
18. Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi.
19. Je! Mmemuona Lata na Uzza?
20. Na Manaat, mwingine wa tatu?
21. Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?
22. Huo ni mgawano wa dhulma!
haina shida wazee wa kujitoa mhanga ili mkapate ma bikra huko mbingunindio hivyo hata ukipnga sababu wewe si mpingaji wakwanza
utukufu wake ndio nini? acha kujidanganya ndugu...hao waliokukaririsha quran na hizo aya hawakukwambia kua ukitumia qurana unaweza mroga hata kumuua mtu...hawakukwambia kua kuna dua za ahalal badr ambazo ni uchawi na ushirikinauliotukuka.
54. surat al-qamarndio hivyo hata ukipnga sababu wewe si mpingaji wakwanza
ALLAH akupe hidaya uongofuimeteremka makka kutoka wapi? na huyo jibril aliekua anziteremsha hizo aya mbona alishindwa kumpa wahai mtume asile ile nyama yenye sumu ambayo ilipelekea kifo chake? uongo mtupu...
allah akuongozehaina shida wazee wa kujitoa mhanga ili mkapate ma bikra huko mbinguni
ah wapi huyo mungu wa kiarabu wal staki kumsikia kaka niache tu ndugu yanguALLAH akupe hidaya uongofu
usitetee bure, iyo alama ni alama ya shetani na wote mnamuabudu huyo! mnauhusiano sana na mambo ya mwezi, ata sikuku zenu ni mambo hayo ya mwezi, !!!Nina uhakika umenielewa,hizi alama huwa wanapendezesha wachoraji ramani,wana Geografia,ili iwe ni utambulisho wa msikiti.Mbali ya msikiti kuwepo hapo,wapo wapigaji picha,ambao husambaza picha sehemu mbalimbali,kama wewe ulivyoitumia hiyo picha.Kwa asiyeelewa ni picha ya nini,kama ni msomi ni wepesi kwake kuelewa,hii ni picha ya nyumba ya ibada ya waislamu au msikiti.
Katika kuweka alama ya utambulisho,hakuhitaji ukubwa au udogo wa kitu,ndio maana ukaona kuna alama za 'Railways Crossing' (x) hata ikiwa kunapita mabehewa ya ukubwa gani.
a ata huyo allah sio Mungu aliye umba mbingu na nchi! kuna udanganyifu umepita katikati ya watu!inaonekana kuna vitu vingi tu ambavyo vipo lkn sio maagizo ya allah
utumwa wa waalabu. ongea kiswahili!Muislam wa kweli kuja jamii forum kubishana na walevi wa dini na siasa ni upumbavu mkubwa maana hutopata suluhu zaidi kufedheheshana tu, na imeelezwa makafili watawafanyieni sana vitimbi. Amini dini yako acha na mimi niamini yangu ndio maana hata hatufanani kila mtu na sura yake umezaliwa peke yako utakufa peke yako nawasilisha Wabillah Tawfiq