IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,737
- 8,176
Kama hero wako ni shoga unataka tukueleweje
Aiseeeeeeeeeeee.........!
Kama hero wako ni shoga unataka tukueleweje
Watanzania kwenye ujinga wao, hii nchi bado sana maana watu asilimia kubwa hawana elimu kichwani na hawataki kijushughulisha, wanaamini kila wanachokiona mitandaoni, hizi story za 666 na mambo supernatural hua ni interesting ndio kwa kua ni fairy tales tu, binadamu kawaida tunapenda kusikia vitu ambavyo ni impossible vikitokea. Wengi mtaungana na mshanajr na group lake basi tu kwa kua wengi ndio story mnapenda kuzisikia.
Tafadhali msiturudishe nyuma, haya madudu yamewajaa sana watanzania mkishika kitu mnakishika ovyo, dini mnashika ovyo, haya nayo mnashika ovyo, unajua hii kazi nimeifanya sana miaka ya nyuma, enzi hizo tunatengeneza articles online za haya maujinga ya 666 tunadesign na picha tunajarivu kurelate na kila kitu na zilikua zinalipa sana matangazo sababu watu wengi wanapenda kusoma haya madudu, ila hakuna ukweli wowote ni story tulikua tunatunga tu ili kupiga hela, hilo swala bado tu bloggers wanaendelea kuandika, na walivo wajanja watatafuta vitu kibao kujarivu kuiframe evidence yao vizuri ili kuifanya ionekane very real, Sasa wajinga mnakuja humu na kuanza kusema mmefunguliwa na bwana kuuona ukweli, huko kufunguliwa ni kupewa internet na kusearch articles zilizotungwa na wapiga hela, basi ombeni mfungwe maana mmefunfuliwa pabaya, ndoo maana nawaambia mnashika mambo kijinga sana. Internet ina uongo zaidi ya 70%, huo wote umetungwa ili mfungue muangalie aliyetunga anaingiza hela ya matangazo period.
Sasa endeleeni kuamini madudu washa yenu mzungu anazidi kupiga hatua mbele, hili taifa kuja kufikia level nzuri sio leo, waamini madudu washa wapo zaidi ya 80%..
Duuu naona baada ya kumaliza kupost hata kiu imekushika...
Ngoja nikwambie kitu @nullpoiter elimu ni bahari na hakuna ukomo wa kujifunza kumbuka even a fool has a story to tell... Kitu ulichofanya wewe cha kuongopea watu kwa maslahi binafsi usikifanye ndio uhalisia wa kwenye Internet.... Ulichofanya au kukisoma kwenye Internet ni kindoo cha maji kwenye bahari, na umejifanya unajua kuliko wengine
Ulikuwa unataka kutoa point nzuri sana lakini majivuno kiburi na dharau vimekuharibia kabisa ukabaki kurukaruka kama bisi kikaangoni
Hii ni forum kuna mengi mazuri na mabaya pia tuna watu wa kila aina humu...jifunze kuheshimu kila post hata kama kwako ni upuuzi mtupu kwa wengine ni somo kubwa
Hakuna cha majivuno wala dharau, wengi hua mnakimbilia kusema hivo mkiambiwa ukweli, Mshana tusikae tukadanganyana, wewe mwenyewe hapo hujawahi experience anything supernatural zaidi ya kuvisoma kwenye internet, u might argue ila ukweli unaujua. Unavyozidi kuspread conspiracies unazozitoa online kwa watu ndivyo unazidi kuwafunga akili, wanakua enslaved kwenye vitu ambavyo in reality havipo, alafu wewe unaviita "somo kubwa" huku ukweli ni uleule tu kua ni "upuuzi".
Mimi nahisi mshana jr ni jini kwa sababu mambo ya kishetanishetani anayajua kwelikweli!
hahahahah mkuu umenichekesha sana. kwamba kitengo cha kishetan jamaa ana shahada ya uzamivu
Kweli kabisa mkuu !
Mimi huyo kabisa???duu
Kwa dhati kabisa!
Duu basi Mungu ni mwema
Hahahahahaaa, Mungu ni mwema ? Ndie aliekuzawadia hiyo karama ya urozi ?
sijaona alipojibiwa mleta maana!
Hapa ndipo unapokosea nimefanya mengi na mengi na mengi achana na haya unayoyaita ya kusoma mtandaoni... Napenda kukuhakikishia mimi mwenyewe kuwa nimeona mengi na nimefanya mengi leo hii nikiongea kitu naongea kwa hakika ya moyo na wala siongopi... At least ujue hili