Alama ya Apple, hii ina maana gani?

Alama ya Apple, hii ina maana gani?

Kila inapotokea charter ya apple imebandikwa, lazima tunda hilo liwe limekatwa kidogo pembeni.

Napenda kufahamishwa mwanzilishi alikuwa na maana gani kuandaa charter hiyo ikiwa imekatwa?

Kwa wale wanaopenda kuchambua mambo naweka theories nyingine kuhusu hiyo alama
Kwanza kabisa hii ndio alama ya Kwanza kabisa (logo)wakati apple computer inazinduliwa 1446133394725.jpg Lakini wenye kuhoji wakahoji na kuja na huu mchanganuo 1446133444688.jpg
 
Nimeshangaa kuona hii post hapa ila kwenye Neno la Ufunuo tulishajua zamani uhusiano wa hyo logo na uumbaji. Kila jambo linaanzia rohoni ila ni wachache wanaolijua hili! Waache waendelee kubisha ila haibadilishi ukweli uliopo!

Kwa wale wanaopenda kuchambua mambo naweka theories nyingine kuhusu hiyo alama
Kwanza kabisa hii ndio alama ya Kwanza kabisa (logo)wakati apple computer inazinduliwaView attachment 303456Lakini wenye kuhoji wakahoji na kuja na huu mchanganuoView attachment 303457
 
Tatizo mnakurupukia mambo bila kufikirisha akili, kabla ya kukimbilia kwenye conspiracies ulitakiwa kwanza uiache akili yako ijiulize maswali chanya na kufanya utafiti wa kitu kinachoongelewa, ungesoma kwanza historia ya kampuni ya Apple ungengamua mapema tu mahusiano ya tunda la Apple na Kampuni yenyewe!
Jobs na Wosniak wakati wanaanza ujasiriamali huu hawakuwa na kitu mfukoni zaidi ya ujuzi wao, hivyo waliamua kutafuta soko kwa kutumia prototype walokuwa nayo tayari. Duka moja la computer liitwalo Byte lilikuwa interested na hiyo computer, wakatoa offer ya kununua pc 50 kwa bei ya $500@, payment on delivery! Kisa cha mwenye duka (Bytes, siyo Jobs wala Wosniak) kuuza kwa $666.66 ni kuongeza Robo moja ya bei ya kununulia katika bei ya kuuza ndiyo ikaja hiyo $666, yaani: 500/3=166.6666666666667+500=666.6666666666667!

Hilo tunda la tufaa katika logo yao lina historia ndefu, logo ya mwanzo kabisa ilikuwa picha ya Isack Newton akiwa chini ya mti wa mtufaa (kama umesoma sayansi niskuchoshe unaijua vizuri habari ya huyu jamaa na story ya tufaa). Jobs pia amewahi kufanya kazi katika mashamba ya tufaa.
attachment.php

Kadri muda ulivokuwa ukienda Apple walianza kuangalia sana suala la design na mvuto wa bidhaa kwa mteja, walibadili nembo yao mara kadhaa ili kuleta apeal mbele za watu. Hilo tunda la Apple na lenyewe ni miongoni ya alama za mnyama?...teh! Tuache mawazo hasi. Nikiangalia kwa umakini kichwa chako naona kimekaa kipembetatu, chicks zako zinafanya vipembe tatu ukitabasamu, kidevu kimechongoka chini na kufanya pembe tatu...wewe nawe vipi, siyo free masson kweli wewe....lol!

Unazungumzia vitu vya juzi mimi nazungumzia vitu vya miaka elfu nyingi 1446137520961.jpg hiki ndio unachokizungumzia wewe hapo juu lakini hebu kasome hii 1446137559424.jpg
Kumbuka pia mijadala ya apple haikuanza Leo sasa sijui hawa nao utawabeza kama mimi
 
Unazungumzia vitu vya juzi mimi nazungumzia vitu vya miaka elfu nyingi View attachment 303464hiki ndio unachokizungumzia wewe hapo juu lakini hebu kasome hiiView attachment 303466
Kumbuka pia mijadala ya apple haikuanza Leo sasa sijui hawa nao utawabeza kama mimi

1446137777304.jpg Rene jr Kilichonifurahisha na kwakweli kwa dhati kabisa umeacha utoto na sasa unapost at least kitu ulichoenda kukitafuta mtandaoni
 
Last edited by a moderator:
Nimeshangaa kuona hii post hapa ila kwenye Neno la Ufunuo tulishajua zamani uhusiano wa hyo logo na uumbaji. Kila jambo linaanzia rohoni ila ni wachache wanaolijua hili! Waache waendelee kubisha ila haibadilishi ukweli uliopo!

Unajua hivi vitu kuna watu ukijaribu kuwafunulia unaonekana kama chizi au mwotaji vile kwavile kwao mwisho wa ni Facebook instagram badoo na whatsapp tena kwenye mambo ya kijinga
 
Apple Computers was cofounded in the 70s by Stephen Jobs, a weird, New Age guru-type, and Steven Wozniak, also an advocate of the Aquarian Age culture. When entrepreneurs Jobs and Wozniak first marketed their earliest, crude personal computer, they put a price tag of $666 on the product. 666! Coincidental--or on purpose? You decide
Hakuna ya hata mmoja ya hao kina stev ni freemason au devil worshiper, hizi ni conspiracies. Do your homework
 
Ni kweli watu huwa hawako critical. Watu huwa wanadhani alama zinatumika tu with no any means. Kila alama au neno linalowekwa popote lina lengo lakufikisha ujumbe fulani either openly or secretly. Watu wengi hata wanaojiita Christians huwa wanasoma kitabu cha Mwanzo kama hadithi za mambo yaliyopita. Hawajui kuwa kile ndiyo kina msingi wa yote yanayoonekana leo. Mfano tunasoma Mungu alifanya uumbaji siku ya kwanza, ya pili etc na siku ya saba akastarehe, Then Yesu akasulubiwa akafa then siku ya tatu akafufuka. Then why are we having Monday til Sunday in our Calender na siyo siku ya kwanza hadi ya saba? Mungu aliumba kwa siku saba. Hivyo majira yanatakiwa ya rotate ndani ya siku saba saba then why kuna tar 29, 30 na 31? Hizi namba zinagawanyikaje kwa saba? Kwanini kina mama clinic wao wanahesabiwa ujauzito kwa siku saba saba kama wiki? Hii ni siri kubwa yakiufahamu. Ila wengine tunashukuru Mungu tumepata Neema yakujua ujanja wa Shetani na hivyo hana nguvu tena kwetu. Ila usichoke kuandika ndugu yangu. Wapo watakaopona hata kama wengine watadharau. Big up!

Unajua hivi vitu kuna watu ukijaribu kuwafunulia unaonekana kama chizi au mwotaji vile kwavile kwao mwisho wa ni Facebook instagram badoo na whatsapp tena kwenye mambo ya kijinga
 
Apple Computers was cofounded in the 70s by Stephen Jobs, a weird, New Age guru-type, and Steven Wozniak, also an advocate of the Aquarian Age culture. When entrepreneurs Jobs and Wozniak first marketed their earliest, crude personal computer, they put a price tag of $666 on the product. 666! Coincidental--or on purpose? You decide
Lol! There is a lot of secrets in these big companies.
Even coca cola has a lot of secrets starting from its name.
 
Hivi mwajua wanaojua formula ya kutengeneza coca cola wako wa tatu tu Ulimwenguni na huwa wakisafiri hawa pandi ndege moja hata siku moja.
 
Ni kweli watu huwa hawako critical. Watu huwa wanadhani alama zinatumika tu with no any means. Kila alama au neno linalowekwa popote lina lengo lakufikisha ujumbe fulani either openly or secretly. Watu wengi hata wanaojiita Christians huwa wanasoma kitabu cha Mwanzo kama hadithi za mambo yaliyopita. Hawajui kuwa kile ndiyo kina msingi wa yote yanayoonekana leo. Mfano tunasoma Mungu alifanya uumbaji siku ya kwanza, ya pili etc na siku ya saba akastarehe, Then Yesu akasulubiwa akafa then siku ya tatu akafufuka. Then why are we having Monday til Sunday in our Calender na siyo siku ya kwanza hadi ya saba? Mungu aliumba kwa siku saba. Hivyo majira yanatakiwa ya rotate ndani ya siku saba saba then why kuna tar 29, 30 na 31? Hizi namba zinagawanyikaje kwa saba? Kwanini kina mama clinic wao wanahesabiwa ujauzito kwa siku saba saba kama wiki? Hii ni siri kubwa yakiufahamu. Ila wengine tunashukuru Mungu tumepata Neema yakujua ujanja wa Shetani na hivyo hana nguvu tena kwetu. Ila usichoke kuandika ndugu yangu. Wapo watakaopona hata kama wengine watadharau. Big up!

Mkuu funguka
 
TABIA KUU YA SHETANI NI VYOTE VILIVYO FANIKIWA VYAKE kwa kuwa apple imefanikiwa sana basi ujalibu kuwaaminisha watu ni vya shetani
 
Unajua hivi vitu kuna watu ukijaribu kuwafunulia unaonekana kama chizi au mwotaji vile kwavile kwao mwisho wa ni Facebook instagram badoo na whatsapp tena kwenye mambo ya kijinga

Usiwalaumu sana hapo ndipo uwezo wao wa akili ulipoishia. Na wengi ambao wanajiona wanajua hupenda sana kumtukana mtu badala ya kutoa hoja zao kumbe hamna kitu. GT sio mtu ambaye anachalenge mtu kwa matusi au maneno machafu ila ni yule anayepinga hoja kwa hoja. Watu wa namna hiyo ujue wamekariri and they think what they know is the right thing over others while not.
 
TABIA KUU YA SHETANI NI VYOTE VILIVYO FANIKIWA VYAKE kwa kuwa apple imefanikiwa sana basi ujalibu kuwaaminisha watu ni vya shetani

Je, unakumbuka kujaribiwa kwa Yesu na shetan kule jangwani. Moja ktk jaribu shetan alimwambia yesu "Mali zote hizi za ulimwengu nimepewa mimi ukinisujudia hivi vyote vitakuwa mali yako." Je, ulishawahi kutafakari juu ya kauli hiyo na ulichoandika? Simaanish kuwa kila aliyefanikiwa anamuabudu shetan ila nataka utafakari sana.
 
Usiwalaumu sana hapo ndipo uwezo wao wa akili ulipoishia. Na wengi ambao wanajiona wanajua hupenda sana kumtukana mtu badala ya kutoa hoja zao kumbe hamna kitu. GT sio mtu ambaye anachalenge mtu kwa matusi au maneno machafu ila ni yule anayepinga hoja kwa hoja. Watu wa namna hiyo ujue wamekariri and they think what they know is the right thing over others while not.
Teh teh the hao labda in iGT
 
Tunaambiwa kuwa shetani aliwashawishi adamu na eva kula tunda peponi nakuwafanya kukiuka amri ya mungu. Mungu akawashusha adamu na eva na shetani duniani tokea mbinguni. Conspiracy theorist wanatuambia kuwa huyo shetani ndio lucifer au fallen angel kama anavyoitwa na ananasibishwa na rituals za freemasonry. Sasa hilo apple la steve jobs lililomegwa wanatuambia ni sehem ya kumtukuza falen angel ambaye ndo lucifer
 
Back
Top Bottom