Alama ya Apple, hii ina maana gani?

Alama ya Apple, hii ina maana gani?

So kwa ss watumiaji inatuathiri kutumia vitu vyao manake nmekuja kugundua vitu vingi ni vyao
Vitu vingi vipi unavyosema ni vyao maana apple hata hana products nyingi zaidi ya tv box, comps, simu, ipad na ipod.
Na software zake zina run kwenye vitu vyake tu wala hatengenezi software kurun nje ya products zake.
 
vyuma sina tatizo kabisa na mtazamo wako kwakuwa kwanza hauna matusi wala kashfa na kejeli, ila Mimi ni mkristo mshika dini hasa na huwa siyumbishwi kwakuwa nimeishi maisha mengi kufanya mengi na kuona mengi.. Naishi kwa upendo na kumheshimu kila mtu na kila kiumbe kwakuwa kila kimoja kiko kwa sababu fulani
Pamoja na yote hayo yote tukikutana sehemu hasa hotel siwezi kukuamini moja kwa moja lazima nichukue tahadhari.
 
mshana page keshajibu inavotakikana...kama mjinga akibsha ni upuuzi wake.....just a number of beast..nakuangukia dhambini kwa adam na hawa
 
Tunda la ufahamu.
Lile adam na eva walikula.
Sio kweli. Kama unaamini katika biblia utagundua jamaa wanatudanganya. Ukisoma mwanzo 3 utagundua.
22 BWANA Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;
23 kwa hiyo BWANA Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.
24 Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.

Kwamujibu wa biblia, hakuna nafasi ya kula tunda kwamara ya pili zaidi ya kungoja siku ya hukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo! Kila kitu waswahili mnawaza Ushirikina sababu akili zenu zimejaa Ushirikina. Gari taa kuwaka mchana nalo mnahusisha na ushirikina. Acheni uongo.

Ni alama ya kishetani na kuzimuView attachment 298155mchoro unaoonyesha nyoka Adam na Eva View attachment 298156View attachment 298156apple ni kiwakilishi cha 666,namba inayotawala duniaView attachment 298157 alama ya jinsi mwanadamu alivyoanguka dhambini View attachment 298158hapa soma mwenyewe View attachment 298159lingalisha na magari ya kisasa yenye vitaa vigogo vinavyowaka Sana hata mchana
 
Hii mada
Watumnajazana upumbavu..hahahaha..
666 na apple havina uhusiano wowote na hawa adam na eva cnc hawajawahi kuexist..
Mshana jr acha kupotosha..vilaza wenzio wanaopenda kukaririshwa kila jambo
 
Sio kweli. Kama unaamini katika biblia utagundua jamaa wanatudanganya. Ukisoma mwanzo 3 utagundua.
22 BWANA Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;
23 kwa hiyo BWANA Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.
24 Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.

Kwamujibu wa biblia, hakuna nafasi ya kula tunda kwamara ya pili zaidi ya kungoja siku ya hukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu langu halikulenga kutetea kwamba biblia inasemaje nini, nilimaanisha tunda la tufaa linahadithiwa kama ndo tunda la ufahamu kwenye biblia.
Hata hivyo ukisoma aya hiyohiyo ya 3, mstari wa 7, baada ya wote kula tunda......
'Wakafumbuliwa macho wote wawili wakajijua wako uchi,.........."
 
Back
Top Bottom