Alama ya Apple, hii ina maana gani?

Alama ya Apple, hii ina maana gani?

Apple Computers was cofounded in the 70s by Stephen Jobs, a weird, New Age guru-type, and Steven Wozniak, also an advocate of the Aquarian Age culture. When entrepreneurs Jobs and Wozniak first marketed their earliest, crude personal computer, they put a price tag of $666 on the product. 666! Coincidental--or on purpose? You decide

Mshana Jr, sijaelewa nahisi kichwa kimestuck!

That's why we need to look everything in different perception, tusiwe kama sponge ambalo linanyonya kimiminika chochote
 
Kweli kabisa mshana maana mmmmh ! Kwenye mambo ya ajabuajabu hasa yanayomuhusu shetani upo vizuri mno
vyuma sina tatizo kabisa na mtazamo wako kwakuwa kwanza hauna matusi wala kashfa na kejeli, ila Mimi ni mkristo mshika dini hasa na huwa siyumbishwi kwakuwa nimeishi maisha mengi kufanya mengi na kuona mengi.. Naishi kwa upendo na kumheshimu kila mtu na kila kiumbe kwakuwa kila kimoja kiko kwa sababu fulani
 
Last edited by a moderator:

Natamani sana siku moja nikutane na wewe ana kwa ana nijifunze vitu fulanifulani maana huwa nasoma saaaaaaaaana post zako na wakati mwingine zinanifurahisha na mara nyingi zinaniogopesha!Lakini, huwa ninajifunza vitu vingi hasa vinavyohusu imani. Mungu atuweke hai ili siku moja tuonane.
 
Aaamen Mungu ni mwema nitajitahidi kwa uwezo wake Mola tutaonana inshallah
 
Mh nimejaribu kujua vitu flan kutoka kwa waswahili wenzangu siasa wajuaji kweli tafiti kwao ni matusi nimesoma jambo
 
Wewe Mshana Jr naweza sema ushawahi kwenda kuzimu na kurudi hapa duniani maana mambo haya ya imani nadhani wewe ni profesa humu jf.!
 
Kila inapotokea charter ya apple imebandikwa, lazima tunda hilo liwe limekatwa kidogo pembeni.

Napenda kufahamishwa mwanzilishi alikuwa na maana gani kuandaa charter hiyo ikiwa imekatwa?

Mimi siku zote nilikuwa najua hiyo alama ya tufaha (Apple) lililoliwa kidogo lilimaanisha hivi kwa waanzilishi wa computer aina ya Apple:

Taking or having a BYTE (a computer memory, and rhymes with BITE) from the fruit of knowledge (our collective intellectual pool of technical know-how) or Apple.

Lakini naona wajuzi wameleta tafsiri pana zaidi.
 
Wewe Mshana Jr naweza sema ushawahi kwenda kuzimu na kurudi hapa duniani maana mambo haya ya imani nadhani wewe ni profesa humu jf.!

Sijawahi kufika huko lakini nimeshakutana na wengi walioenda huko, na kwakweli kuna baadhi nimeweza kuwatoa kwenye Ulimwengu wa giza
 
Back
Top Bottom