Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,548
- 860,660
Mimi siku zote nilikuwa najua hiyo alama ya tufaha (Apple) lililoliwa kidogo lilimaanisha hivi kwa waanzilishi wa computer aina ya Apple:
Taking or having a BYTE (a computer memory, and rhymes with BITE) from the fruit of knowledge (our collective intellectual pool of technical know-how) or Apple.
Lakini naona wajuzi wameleta tafsiri pana zaidi.
Maana yake hicho kipande kidogo ni WENYE HEKIMA
Wenye hekima WACHACHE kuongoza wengi.....!!
Kuna Kikubwa sana cha kujifunza hapa