"Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

"Akaunti yangu ina more than billion"- Diamond Platnumz

Mkuu kwa akili yako wewe kampuni ni nini?

Naanza kuhisi kuwa baadhi ya wachangiaji humu pengine ni vijana wadogo na walio shule (most likey sekondari), kwa hivyo mtazamo wao kwenye masuala ya pesa unaishia kwenye viwango vya ada na pocket money mnavyopewa na wazazi/walezi wenu.

That's true! ha ha ha ha.....
 
kwa nini uwe na bilioni kenye acc? huna cha kufanya?
yaani mimi acc yangu ikifikisha 1M tu huwa napata kichaa, hela yote hiyo naiacha bank inafanya nini?

Siku zote mtu maskini na mwenye mawazo ya kimaskini utamjua tu....
 
Kama account yake ina billion kama anavyodai,inamaana ni billionaire si ndio??,na mimi ninavyojua diamond kapanga sinza wanyama,sijawahi sikia billionaire anaishi nyumba ya kupanga

Kwahiyo mkuu mtu akiwa bilionea ndo inamaanisha kuwa ni lazima aishi nyumba ya ghorofa?, kuna millionaires wengi tu kule US wanaoishi kwenye nyumba za kawaida sanaa
 
Kwahiyo mkuu mtu akiwa bilionea ndo inamaanisha kuwa ni lazima aishi nyumba ya ghorofa?, kuna millionaires wengi tu kule US wanaoishi kwenye nyumba za kawaida sanaa

Mmh ndo kwanza nakusikia wewe et ma billionare wa ulaya wanaish nyumba za kawaida, ebu nitajie billionaire unayemzungumzia na hiyo nyumba anayoish, maana naona unalet za kulet apa
 
Watanzania wenzangu, nawapendea umbeya tuuuuuuu! Kisses kwenu wote mliochangia uzi huu! Kiroho safi tu! Copy Asprin
 
Last edited by a moderator:
ataishia show off wenzie kina ney na laki laki zao wanashusha mijengo.ya heshima.
 
Arekebishe sauti,ajitune kimataifa,pesa ndogo sana hiyo.
 
ataishia show off wenzie kina ney na laki laki zao wanashusha mijengo.ya heshima.

binamu mi na was wasi na ndomo atakuwa mshirikina yule, nyumba tok mwak 2011 had leo haijaisha, sitak kuamin kama pesa ya kumalizia hana
 
Hela dogo anazo;
Anakuambia kuwa hela yake ya mkataba inaingia benk
na huwa hatoi hela benk hata siku moja sana sana ni kufanya edition tu;

Sasa unachokataa nini kwani?

Domond hacha uzuzu wewe keng.e! Unajua 1bilion wewe? Mwenye zaidi ya 1b anatembelea used toyota? Ebu angalia wenye zaidi ya b gari zao,manji vogue,le mogu davis mosha lambogin,bakhresa limosine!! Mwenye zaidi ya b anajenga gofu? Ebu pita kunduchi beach ukaone mijengo ya watu wenye b sio wewe unajenga banda la kuku tegeta,ungekuwa na 1b ungejenga ka gorofa bwana mbezi beach mie nadhani ulimaanisha bilioni za zimbabwe na sio madafu.
 
binamu mi na was wasi na ndomo atakuwa mshirikina yule, nyumba tok mwak 2011 had leo haijaisha, sitak kuamin kama pesa ya kumalizia hana

hahaaa inawezekana na ukute chezea mmanyema wewee!
 
Kwahiyo mkuu mtu akiwa bilionea ndo inamaanisha kuwa ni lazima aishi nyumba ya ghorofa?, kuna millionaires wengi tu kule US wanaoishi kwenye nyumba za kawaida sanaa

koma weeeee na mtaje anayeishi kwenye nyumba ya kupanga
 
Kwahiyo mkuu mtu akiwa bilionea ndo inamaanisha kuwa ni lazima aishi nyumba ya ghorofa?, kuna millionaires wengi tu kule US wanaoishi kwenye nyumba za kawaida sanaa

Weee nawe tutolee storii zako za kijiwenii...tupe mfano wa billionare anayeishi kwenye kijinyumba cha kawaida..siyo unatetea uongo hapa...usitufanye siye tuna akili fupii ebo!!
 
Weee nawe tutolee storii zako za kijiwenii...tupe mfano wa billionare anayeishi kwenye kijinyumba cha kawaida..siyo unatetea uongo hapa...usitufanye siye tuna akili fupii ebo!!

Maskini akipata ma..ta..ko hulia mbwata

Nzega
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom