Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,748
- Thread starter
- #141
Ooohh nilisahau ile ‘Je Utanipenda’ nayo kumbe kamshirikisha Tekno!! Asante kwa kutukimbusha..Sasa hivi anaona kutoa wa kwake ni sheeda hawezi tena amebaki kuimba pamoja