ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Mondi Tanzania ahame tu sasa hapa sio mahala Pake!
We ulitakaje tuone mizoga ya kiba? Mziki wa chibu ni burudani ujumbe walishaimba akina bob marley na akina marijani hii ni new generation with new swagga! Mziki unainsipirendo mlitaka muone magari na kuchezea dolari??? Hahaha
Uko sahii mkuu ila soko linataka video za hivyo na mziki ni biashara, zKatika kitu chochote tunavutiwa na ule utofauti.... nyimbo za magari wameonyesha wengi sana tunataka new taste.... mnapokuwa na timu jaribu pia kuangalia kitu kilicho bora... dimond napenda kazi zake but video ya kiba ilikuw na utofauti ulionivutia sana
Saada je watu wanahate tu bure bila maanaNi tabu bin taaban, dai hafai.. salute
Hahaha tupia koment kuhusu nhoma io broo tuambie unaionajeHatimaye