AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

mbona mnatuchanganya nyie team vifaduro..mara idea ya lil wyne-got money cjui ndo madudu gn,mara snitch ya Obbi cjui ndo kitu gn...ebu tafuteni point moja ambayo mtasimama nayo ktk kuudiss huu wimbo ili tuwaelewe...mbona hamnaga unanimity ktk hizi kosoa zenu!
mkishaanza kuwa na mitizamo tofauti nyie team haters basi tutajua jamaa hawajacopy sehemu,maana mnashindwa kupambanua which is which!

Ha haaa, team haters at work! hawamtakii mema bali wanamsubiri aanguke wamcheke.
 
269293.jpg
>>>jibu kama pua yako
Chuki ni moja ya kitu kibaya zaidi anachokifuga binadamu
 
Kiukweli hamna lolote la maana tatzo mashabiki wa mondi mnaaendeshwa kwa mihemko, video mbovu na audio mbovu, huyu AKA kachemka sana km ndio anashindana na CASSPER atasubiri sn
subiri tuone coz actions speak louder than mere words...words can build ten storeys house on tha air!
 
Naona baada ya Baba Tiffah kutangaza anatoa wimbo wiki hii nawe ukakimbilia kufungua account ingine ukimsubiria...hongera kwa kumsapoti maanabkitu ambacho kwako kibaya wengine ndio kitawavutia waone ubaya upo wapi na Diamond pesa itaongrzeka...usisahau kufungua na ID ya kujijibu na kujisifia...ndimu bado zipo
kwa hili jibu lako na fikra zako kweli NIMEEAMINI WATU WA PWANI MNA WAZA UMBEA NA MAJUNGU TU
 
Ntaitwa Snitch ila kwenye ukweli tunasema jamani alafu diamond kaonekana kama underground masikini yaani mbwembwe zake sijaziona mle
Baada ya kuichek poa nimegundua
Yale manjonjo kama ya zigo nimeyamiss sijayaona... Kuna kautam flan kanako mfanya diamond awe diamond hakapo

Ndo kitu pekee kimekosekana bt video tamuu sanaa.
 
  • Thanks
Reactions: me1
Ushauri wa bure tu kwa timu Pop it in....(which is meaningless), yanini kujitafutia stress za bure kujenga uhasama ambao kila siku mnaumbuka, yani hamuamini tu kuwa next international tuzo itakuwa ya jamaa tena!? By the way endeleeni maana hii ndo sehemu yenu ya kuonesha mashauzi (yaani JF kwenu ndo sawa na airport).
 
simbaaaaa mond we bwana mdogo hukamatiki MUNGU akutangulie dogo umenifurahisha umedhihirisha kuwa wewe ni simbaaaaaa mpaka hapa WAPENDA KIKI MSITUFATE TENA NYIE SIO LEVEL YETU tuna cheza MAKE ME SING ndo habareeee jamani we dogo chibu SALUTE!!!!!!! WATAFUTA KIKI BYEE !! hii ni level ya ki Afrika na Duniani sio ki home tena checheeeeeee jiwe limerushwa gizani afu lina upupu maninaaa!!!
 
Back
Top Bottom