Bro kuna yule Masai pale road kaniuzia condom ana niuliza kazi taweza kweli ndugu naona hata kutembea huwezi🤣😂.🤣🤣Aisee kweli Uliwaka, Magomeni ndio Maeneo yangu hayo
Enrolled nurse kwa mshahara wa laki 2 unatoboa vipi kama sio kupenda mserereko.Hahaha mimi ni nesi , wewe kama unataka kuolewa na mume mwenye hela nicheki , tu.
Nawaelewa sana wanawake wenye nenge huwa nawapa kipaumbele sana 😉
Pakulewea Ndio shidaYani tule pombe nitoe pesa watu wale maji , niongee ujinga tu😅😅😅
Hakuna wadau nawakubali kama wa JF 🤣
Kuna wanangu kibao na wasio wasio, wote waulize maswali kuhusu mimi , nitajibu kila swali hapa 🤔
GENTAMYCINETaja watano wasio....
1.
2.
3.
4.
5.
Ya Tanga ya barabara ya Saba pale kwenye msikiti mweupe na kijani karibu na kwa wauza urojo🤣😂Chai
Hayo maeneo sio tu weka mbali na Watoto hata Watoto wenyewe hawatakiwi🤣😅🤣😂Bro kuna yule Masai pale road kaniuzia condom ana niuliza kazi taweza kweli ndugu naona hata kutembea huwezi🤣😂.
Halafu kuna dogo anauza roses 🌹 katikati ya barabara anataka ninunulie Malay..a 🌹 😂🤣
anko sam utauponzaUpo baa gani anko mimi nipo tegeta hapa mda huu
Ooooiiiiii mbona nipo hapo hapo masta duh inamaana tupo sehemu moja😄😁Uko sehemu gani,me niko butterfly
Mkuu hivi unapiga beer ama vile vigumu kumeza,Hahaha kabisa daktari , huw nafanya hivyo😅
Safi master,kula maisha..Ka wine tu kalaini😅