Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,564
- 6,337
Bwashee tayari, tukutanie Mandela bar hapa Madukani
Nafahamu zilongwa mbali zitendwa mbali 🤣Sio mara zote , usiamini maneno ya mtandaoni😅
Kuna visungura, smart gin, highlife, banana n.k. mkipiga donee mkiwa na elfu kumi mnalewa chakari hadi kujinyea na kujikojoleaPesa za kunywa kila siku zinatoka wapi? Labda uwe unakunywa gongo bwashee 😅😅
Tumeahidiwa mwili mpya, unataka kufa Figo na maini yakiwa mazima ili iweje?Hizo lazima uchakae 🤣
Wasiojulikana na wanaojulikana wanakutana sehemu mojaKivip