Aisee kuna siku natamani nilewe na wadau😅

Aisee kuna siku natamani nilewe na wadau😅

Yani tule pombe nitoe pesa watu wale maji , niongee ujinga tu😅😅😅

Hakuna wadau nawakubali kama wa JF 🤣

Kuna wanangu kibao na wasio wasio, wote waulize maswali kuhusu mimi , nitajibu kila swali hapa 🤔

Una miaka mingapi?
Una mke? Mtoto/Watoto?
Kama yupo anazungumziaje wewe kulewa almost kila siku?
 
Back
Top Bottom