MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,048
- 151,501
Mkuu upo KB upande gani?? Mimi nimo humu ndani tayariTusogee KB hapo tukale bia
Mkuu nilikuwa club sasa pale club nilipata mdada mzuri ila pombe ilinifanya niwe mpuuzi. Niliwacha yule mdada nikaishia kubeba Malay..a kuna club pale Magomeni maarufu sana kwa watoto wa shule karibu na kanisa🤣🤣ukajishikia zako tu Mkono
🤣🤣Aisee kweli Uliwaka, Magomeni ndio Maeneo yangu hayoMkuu nilikuwa club sasa pale club nilipata mdada mzuri ila pombe ilinifanya niwe mpuuzi. Niliwacha yule mdada nikaishia kubeba Malay..a kuna club pale Magomeni maarufu sana kwa watoto wa shule karibu na kanisa
Bila shaka upo bar unapata pombe za mserereko.Yani tule pombe nitoe pesa watu wale maji , niongee ujinga tu😅😅😅
Hakuna wadau nawakubali kama wa JF 🤣
Kuna wanangu kibao na wasio wasio, wote waulize maswali kuhusu mimi , nitajibu kila swali hapa 🤔
Kajamaa kameshalewa hapo kanajiona kapo juu angani kanaelea. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ushalewa wewe, nenda nyumbani
Enrolled nurse (E.N ) tangu lini akawa na hela?Noo , pesa ninazo kwa nini useme hivyo?
Mambo vipi😁Acha hizo shkamoo 😅😅😅
Ukiona hivyo jamaa ganda la ndizi.Una miaka mingapi?
Una mke? Mtoto/Watoto?
Kama yupo anazungumziaje wewe kulewa almost kila siku?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kashapokea mshahara huyu.
Ameshalewa..
Hizo hela za kugawa bure hana wapendwa. Muoneeni huruma. Kesho atashindia mihogo.
El nino ni scam.Tufanye jambo kabla ya El Nino
ChaiNililewa nikabeba Malay..a mpaka leo sijalewa tena😂🤣