Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika.

Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao.

Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua ofisi zenu kila mkoa ili tuwawajibishe!
 

Attachments

  • 2025_10_15_03.27.48.png
    2025_10_15_03.27.48.png
    571.2 KB · Views: 11
  • 2025_10_15_03.27.15.png
    2025_10_15_03.27.15.png
    341.7 KB · Views: 10
Back
Top Bottom