Mie mwenyewe nilistuka sana nilipoliona hilo Tangazo! Kwa mtazamo wangu hii siyo sawa.........
Mie mwenyewe nilistuka sana nilipoliona hilo Tangazo! Kwa mtazamo wangu hii siyo sawa.........
mkuu ingawa nilisoma Law kwa kubeep lakini nakumbuka kitu kama hiko hapo kwenye red.... wanasheria wanaweza kutusaidia hapa
nikipata muda wa kupitia makaratasi ya sheria za mikataba ntakueleza kwa uelewa mchache hcho kpengele dada.
sioni tatizo,kwanza nina uhakika kuna maongezi yameshafanyika btn airtel na familia ya marehemu kwa kipindi hcho ambacho tangazo lilikuwa limesitishwa,familia itakuwa inanufaika.
kuhusu contract kipindi kile cha msiba niliwahi kumsikia mzee majuto akisema yeye na sharo walikuwa na kampuni yao ambayo walikuwa wawili tu (sina uhakika kama waliisajili kweli ikawa kampuni) ambayo anasema waliingia mikataba na hao airtel na azam,kama ni kweli kuhusu hiyo kaampuni it means airtel waliingia mkataba na kampuni not individual partner,kampuni haifi kwa member mmojawapo kufarik so the contract is still valid.
kama waliingia mkataba na sharo kama sharo bas kifo kilimaliza huo mkataba,kutakuwa kuna maridhiano yamefanyika mpaka tunaliona tena (mtazamo wangu)
Niwajlize swali?
Msanii wa mziki akifa mziki wake usipigwe kisa utaleta machungu kwa mashabiki wake?
Wenye akili watanielewa
charminglady
Labda ikiwa kama mkataba wa sharo na airtel ulikuwa na kipengele kinachosema 'nitakapokufa mtaacha kuonesha matangazo niliyofanya...'..matangazo yataendelea kuruka kama kawaida..biashara ni biashara,,na utu ni kitu kingine.
Si kwamba Airtel ife bali wasitishe lile tangazo... mbona Zantel walisitisha tangazo la Kanumba???